Mbunge ataka Benki ya Wanawake Pemba
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itapeleka Benki ya Wanawake katika mikoa ya Pemba, ili nao waweze kunufaika na benki hiyo. Msabaha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wanawake, wanaume wanufaika mikopo ya Benki ya Wanawake
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, imesema hadi sasa Benki ya Wanawake Tanzania imewezesha kutoa mikopo kwa asilimia 77 ya wanawake nchini huku wanaume walionufaika na mikopo hiyo...
5 years ago
CCM Blog
MBUNGE WA CUF MKOA WA KUSINI PEMBA ATIMKIA CCM

Ngwali ametangaza uamuzi huo leo Jumatatu Machi 2, 2020 mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambaye yupo Zanzibar katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya za kisiwani Pemba.
Mbunge huyo amesema anajiunga CCM kwa sababu chama hicho tawala kinapeleka maendeleo kwa wananchi.
Ngwali anaungana na...
10 years ago
Vijimambo
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KISIWANI PEMBA


5 years ago
Michuzi
MBUNGE WA JIMBO LA WAWI CUF VISIWANI PEMBA AJIUNGA NA CCM


Akiwa katika ziara ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa amepokea maombi ya Mbunge wa Jimbo la Wawi kwa tiketi ya CUF kuomba kujiunga na CCM.
Hatua hiyo imekuja baada ya Ndugu Ahmed Juma Ngwali kuusimamisha msafara wa Ndugu Polepole, kuomba kujiunga na CCM na kutangaza kujivua nafasi zake zote ndani ya Chama cha CUF.

11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mbunge ataka ahadi za JK zifutwe
MBUNGE wa Viti Maalumu Rebeca Mngodo (CHADEMA), ameitaka serikali kuzifuta ahadi zote zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuomba kura mwaka 2010 kwa madai kuwa hazitekelezeki. Mngodo alitoa kauli...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Mbunge ataka wasilipwe posho
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ameshauriwa kumuandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kuomba kuvunjwa kwa bunge hilo linaloendelea mjini hapa endapo wajumbe wake watashindwa kuanza kujadili rasimu Jumatatu ijayo.
10 years ago
Habarileo05 Nov
Mbunge ataka Bunge lisitishwe
KUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameomba Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge ulioanza jana mjini hapa kuahirishwa ili fedha walizopaswa kulipwa wabunge zitumike kununua dawa kuokoa wagonjwa.