Mbunge ataka wasilipwe posho
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ameshauriwa kumuandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kuomba kuvunjwa kwa bunge hilo linaloendelea mjini hapa endapo wajumbe wake watashindwa kuanza kujadili rasimu Jumatatu ijayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Mbunge akerwa mjadala wa posho
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Josephine Chagula, ameelezwa kukerwa na malumbano ya wanasiasa ambayo yanalenga kutetea sera za vyama vyao badala ya kutetea maslahi ya nchi. Akizungumza na Tanzania...
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Spika Makinda: Mbunge aliyetafuna posho arejeshe
9 years ago
StarTV25 Nov
 Mbunge wa Singida Magharibi atangaza kutochukua posho za  vikao vya bunge
Mbunge wa Singida Magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Elibariki Kingu ametangaza azma yake ya kutochukua posho za vikao vya Bunge kwa muda wa miaka mitano ili fedha hizo zikasaidie wananchi wake.
Uamuzi huo umekuja kwa kile alichodai kuwa, Serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kugharamia mahitaji yasiyo ya lazima ikiwa ni pamoja na posho hizo wakati hayo yote ni sehemu ya majukumu yao.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu akitoa mchanganuo wa fedha anazolipwa Mbunge mmoja kwa...
10 years ago
Habarileo05 Nov
Mbunge ataka Bunge lisitishwe
KUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameomba Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge ulioanza jana mjini hapa kuahirishwa ili fedha walizopaswa kulipwa wabunge zitumike kununua dawa kuokoa wagonjwa.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mbunge ataka ahadi za JK zifutwe
MBUNGE wa Viti Maalumu Rebeca Mngodo (CHADEMA), ameitaka serikali kuzifuta ahadi zote zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuomba kura mwaka 2010 kwa madai kuwa hazitekelezeki. Mngodo alitoa kauli...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mbunge ataka Benki ya Wanawake Pemba
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itapeleka Benki ya Wanawake katika mikoa ya Pemba, ili nao waweze kunufaika na benki hiyo. Msabaha...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Mbunge ataka Dar kuwa safi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ametaka kujua kwanini Jiji la Dar es Salam linazidi kuwa chafu wakati fedha nyingi zilitumika kufanya usafi kwa muda mfupi alipokuja Rais wa...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Mbunge ataka magereza kupanda miti
MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jaffo (CCM) ametaka kujua mikakati ya serikali kuwezesha majeshi ya magereza kupanda miti na kutunza mazingira kwenye maeneo yao magereza. Katika swali la awali la Mbunge...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Mbunge ataka taasisi za fedha zichunguzwe
MBUNGE wa Viti Maalumu, Cecilia Pareso (CHADEMA), ameitaka serikali kuzichunguza taasisi za kifedha zinazotoa mikopo kwa riba kubwa ikiwa ni pamoja na taasisi ya kifedha ya Bayport. Pareso alitoa pendekezo...