Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika Makinda: Mbunge aliyetafuna posho arejeshe

Spika wa Bunge, Anne Makinda jana alipigilia msumari sakata la wabunge kuchukua posho bila kuzifanyia kazi stahiki kwa kuwaamuru wazirudishe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Spika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri wamtosa Spika Makinda

BAADHI ya Mawaziri na Manaibu wao, wamekacha kuhudhuria hafla maalum ya kumpongeza Spika wa Bunge la Muungano, Anne Makinda, ambaye hivi karibuni alichaguliwa kwa kishindo kuwa Rais wa Bunge SADC...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Anna Makinda achachamaa

Spika wa Bunge, Anne Makinda amezitaka kamati tatu za Bunge ambazo wenyeviti wake walitakiwa kuwajibika kutokana na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, kufanya uchaguzi wa wenyeviti wengine kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 18 wa Bunge, Januari 27 mwaka huu mjini Dodoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Spika Makinda ulitaka afe nani?

KATIKA Biblia takatifu, kitabu cha Mhubiri 3:1-2 kinasema kila jambo lina majira yake, wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa. Nimelazimika kulijadili andiko...

 

10 years ago

Mwananchi

Anne Semamba Makinda Spika wa Bunge

Anne Semamba Makinda alizaliwa Julai 26,1949 mkoani Njombe, zamani sehemu ya Iringa (atafikisha miaka 66, Julai mwaka huu).

 

11 years ago

Mwananchi

Mwigulu Nchemba amwonya Spika Anne Makinda

>Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amemwonya Spika wa Bunge, Anne Makinda  kuacha kutumia vibaya fedha za Serikali kwa kuwapa posho wabunge kwa ajili ya kwenda kwenye michezo nje ya nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Spika Makinda awashauri mawaziri kuwabana watendaji

>Muda mfupi kabla ya kuahirisha Bunge jana, Spika Anne Makinda amesema moto uliotokea kwenye kikao hicho, ndivyo itakavyokuwa katika siku zijazo wakati wa kujadili taarifa za kamati .

 

11 years ago

Mwananchi

Kambi ya upinzani yamshukia Spika Anne Makinda

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema kauli ya kuudhi iliyotolewa bungeni juzi jioni na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Frederick Werema imekuzwa na kuyumba kwa Kiti cha Spika.

 

10 years ago

Mtanzania

Spika Makinda apandisha joto la urais CCM

anne-makindaEVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES

Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.

Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.

Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani