Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika Makinda apandisha joto la urais CCM

anne-makindaEVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES

Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.

Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.

Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Lowassa apandisha joto la urais

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amepandisha joto la homa ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Joto hilo amelipandisha jana huku jina lake likitajwa zaidi wiki hii bungeni na baadhi ya mahasimu wake kisiasa na wabunge wengine waliotaka asafishwe kutokana na kutuhumiwa katika kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond.

Wakati jana watu walitarajia Lowassa angetoa kauli kuhusu mambo ya urais baada ya kutumwa na Makamu wa...

 

11 years ago

Michuzi

Spika Makinda apigiwa chapuo Urais Bunge la SADC


 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongea na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Bunge la SADC Mhe. Sylvianne Valmont kutoka Bunge la Ushelisheli  alipokutana nae wakati wa Mkutano wa 36 wa Umoja huo unaoendelea Mjini Victoria Falls Zimbabwe. Makinda anagombea nafasi ya Urais wa Chama hicho. Kati  ni Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mhe. Adadi Rajabu.Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikiliza  akiwa katika mazungumzo na Mjumbe kutoka Bunge la Swaziland Mhe. Sikhumbazo Ndlovu kuhusu nia...

 

11 years ago

Michuzi

Kila la Kheri Spika Makinda, Urais Bunge la SADC


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiteta jambo na Spika wa Bunge la Afrika Kusini Mhe. Baleka Mbete kabla ya kuanza kwa kikao cha Mkutano wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi wanachama wa SADC jana mjini Victoria Zimbabwe. Uchaguzi wa Rais wa Jukwaa hilo unafanyika leo ambapo Spika Makinda anaungwa Mkono na Nchi nyingi za SADC .
Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Spika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri wamtosa Spika Makinda

BAADHI ya Mawaziri na Manaibu wao, wamekacha kuhudhuria hafla maalum ya kumpongeza Spika wa Bunge la Muungano, Anne Makinda, ambaye hivi karibuni alichaguliwa kwa kishindo kuwa Rais wa Bunge SADC...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Anna Makinda achachamaa

Spika wa Bunge, Anne Makinda amezitaka kamati tatu za Bunge ambazo wenyeviti wake walitakiwa kuwajibika kutokana na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, kufanya uchaguzi wa wenyeviti wengine kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 18 wa Bunge, Januari 27 mwaka huu mjini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Anne Semamba Makinda Spika wa Bunge

Anne Semamba Makinda alizaliwa Julai 26,1949 mkoani Njombe, zamani sehemu ya Iringa (atafikisha miaka 66, Julai mwaka huu).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Spika Makinda ulitaka afe nani?

KATIKA Biblia takatifu, kitabu cha Mhubiri 3:1-2 kinasema kila jambo lina majira yake, wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa. Nimelazimika kulijadili andiko...

 

10 years ago

Michuzi

Spika Anne Makinda ziarani nchina China

 Spika akiwa katika ziara ya maeneo kadhaa ya kiteknolojia katika kampuni ya Huawei.Spika yuko nchini China kwa ziara ya namba ya kulifanya Bunge la Tanzania kuendeshwa kiteknolojia zaidi Mtaalam wa kampuni ya Huawei akitoa maelezo ya masuluhisho kadhaa ya Bunge Mtandao (e-parliament solutions) kwa Mhe Spika na ujumbe wake. Mhe Spika Anne Makinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya  Huawei, Li Dafeng kuhusu mambo kadhaa ya kiteknolojia ya Kibunge ambayo hufanywa na kampuni hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani