Lowassa apandisha joto la urais
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amepandisha joto la homa ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Joto hilo amelipandisha jana huku jina lake likitajwa zaidi wiki hii bungeni na baadhi ya mahasimu wake kisiasa na wabunge wengine waliotaka asafishwe kutokana na kutuhumiwa katika kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond.
Wakati jana watu walitarajia Lowassa angetoa kauli kuhusu mambo ya urais baada ya kutumwa na Makamu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Apr
Spika Makinda apandisha joto la urais CCM
EVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.
Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.
Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Joto la urais lapanda Z’bar
Na Mwandfishi Wetu, Zanzibarr
JOTO la kuwania urais wa Zanzibar limezidi kupanda huku mgombe wa nafasi hiyo kupitia Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamesd akijitosa kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.
Hamad ametamba kuwa anatarajia kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na kuanzisha shirika jipya la ndege la Zanzibar iwapo wananchi watampigia kura kuwa Rais mpya katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Hamad alitoa msimamo huo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania urais na Mwenyekiti...
5 years ago
Michuzi
JOTO LA URAIS CHADEMA LAPAMBA MOTO, MCH MSIGWA ATAJA MAMBO MATATU ATAKAYOYAFANYA AKIWA RAIS
Charles James, Michuzi TV
UCHUMI imara, kusimamia utawala bora na kuboresha elimu nchini, ndivyo vipaumbele vitatu ambavyo Mtia nia wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mch Peter Msigwa amevitaja.
Mch Msigwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ametangaza rasmi nia yake hiyo ya kugombea Urais kupitia Chadema leo jijini Dodoma ambapo pia alisindikizwa na wabunge wenzake, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' Hawa Mwaifunga na John Heche.
Akizungumza na wandishi...
10 years ago
GPL
BI HARUSI APANDISHA MASHETANI KANISANI!
10 years ago
Bongo506 Jan
Man Walter apandisha gharama za kutayarisha nyimbo
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Lowassa mgombea urais CHADEMA
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Lowassa achomoza tena urais

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (CCM) kwa mara nyingine amechomoza na kushika nafasi ya kwanza kwa kupata kura 752 sawa na asilimia 22.8 ya kura 3,298 katika nafasi ya kiongozi anayefaa kuwa rais wa Tanzania.
Lowassa amepata kura hizo katika ripoti ya utafiti uliopewa jina la Vigezo na Matarajio ya Wananchi katika Kufanya Maamuzi ya Kuchagua Viongozi Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015.
Utafiti huo...
10 years ago
Mwananchi23 May
Lowassa, Membe huru urais
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Lowassa apinga urais wa Dk Magufuli