Joto la urais lapanda Z’bar
Na Mwandfishi Wetu, Zanzibarr
JOTO la kuwania urais wa Zanzibar limezidi kupanda huku mgombe wa nafasi hiyo kupitia Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamesd akijitosa kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.
Hamad ametamba kuwa anatarajia kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na kuanzisha shirika jipya la ndege la Zanzibar iwapo wananchi watampigia kura kuwa Rais mpya katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Hamad alitoa msimamo huo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania urais na Mwenyekiti...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 May
Joto la uchaguzi lapanda
11 years ago
Mwananchi19 Oct
Joto uchaguzi Serikali za mitaa lapanda
10 years ago
Habarileo02 Dec
Dar, Z’bar na K’njaro kuathiriwa na joto kali
HALI ya joto katika jiji la Dar es Salaam imeelezwa kupanda kwa nyuzi joto 4.5 kutoka 31.5 hadi 35.5 ambapo hali hiyo inatarajiwa kudumu hadi Februari mwakani.
10 years ago
Mtanzania16 May
Lowassa apandisha joto la urais
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amepandisha joto la homa ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Joto hilo amelipandisha jana huku jina lake likitajwa zaidi wiki hii bungeni na baadhi ya mahasimu wake kisiasa na wabunge wengine waliotaka asafishwe kutokana na kutuhumiwa katika kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond.
Wakati jana watu walitarajia Lowassa angetoa kauli kuhusu mambo ya urais baada ya kutumwa na Makamu wa...
10 years ago
Mtanzania25 Apr
Spika Makinda apandisha joto la urais CCM
EVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.
Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.
Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...
5 years ago
Michuzi
JOTO LA URAIS CHADEMA LAPAMBA MOTO, MCH MSIGWA ATAJA MAMBO MATATU ATAKAYOYAFANYA AKIWA RAIS
Charles James, Michuzi TV
UCHUMI imara, kusimamia utawala bora na kuboresha elimu nchini, ndivyo vipaumbele vitatu ambavyo Mtia nia wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mch Peter Msigwa amevitaja.
Mch Msigwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ametangaza rasmi nia yake hiyo ya kugombea Urais kupitia Chadema leo jijini Dodoma ambapo pia alisindikizwa na wabunge wenzake, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' Hawa Mwaifunga na John Heche.
Akizungumza na wandishi...
10 years ago
Mzalendo Zanzibar07 Sep
Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar.
NA RAHMA SULEIMAN 7th September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia United Democratic Party (UPDP) Mwajuma Ali Khamis, ameshindwa kurejesha fomu na kukosa sifa ya kugombea. Mwajuma alikuwa miongoni mwa wagombea 15 waliochukua fomu Tume ya […]
The post Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi01 Jun
Maalim Seif: Najisikia raha kuwa mgombea pekee wa urais Z’bar
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
IMF:Tishio la kuzorota kiuchumi lapanda