BI HARUSI APANDISHA MASHETANI KANISANI!
![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzg8kym9fhVHmwSLMY3qZbDOp7VfcT6bdpR4IU6X8W6oJVJOTPs2fNFkGYB4ngODhNFWfXfLZgwLa7dM3URq68IB/Back.gif?width=650)
Chande Abdallah na Deogratius Mongela Mshtuko! Bi harusi Agnes Omari (26) amezua kizaazaa baada ya kudaiwa kupandisha mashetani kanisani wakati akivishwa pete ya ndoa, hali iliyosababisha tendo la kufungishwa ndoa kusimama kwa muda kwa ajili ya kutafuta msaada wa maombi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1N3uS9D
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.
10 years ago
Mtanzania16 May
Lowassa apandisha joto la urais
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amepandisha joto la homa ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Joto hilo amelipandisha jana huku jina lake likitajwa zaidi wiki hii bungeni na baadhi ya mahasimu wake kisiasa na wabunge wengine waliotaka asafishwe kutokana na kutuhumiwa katika kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond.
Wakati jana watu walitarajia Lowassa angetoa kauli kuhusu mambo ya urais baada ya kutumwa na Makamu wa...
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi
10 years ago
Bongo Movies18 May
Picha: Siku Mashetani Yangu Yakinipanda Nitawambia Kitu-Kitale
Hii ni moja ya picha iliyosabisha mafuriko ya COMMENTS na LIKES mtandaoni. Hawa ni mastaa wa hapa Bongo, Kitale ‘mkudesimba’ na Vj Penny.
Kitale alibandika picha hii kwenye ukurasa wake na kuiandikia “Kuna siku mashetani yng yakinikalia vibaya nitawambia kitu” kisha kum- tag penny na kumalizia naneno haya….UfundiPelekaVeta ….MapenziAuPesa.
Mashbiki wengi walishusha komenti za kumtaka Kitale awambie hicho kitu, huku wengine wasimshauri achukue mrembo penny kwani watatengeneza bonge la...
10 years ago
Bongo506 Jan
Man Walter apandisha gharama za kutayarisha nyimbo
10 years ago
Mtanzania25 Apr
Spika Makinda apandisha joto la urais CCM
EVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.
Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.
Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Bi harusi apewa talaka siku ya harusi