Man Walter apandisha gharama za kutayarisha nyimbo
Mtayarishaji wa muziki nchini, Man Walter ametangaza kupandisha gharama ya kutayarisha nyimbo katika studio zake za Combination Sounds. Producer huyo amesema atakuwa akitoza shilingi milioni moja japo bei hiyo itaongezeka kulingana na mahitaji ya wimbo husika. “Wimbo wa Ali Kiba huwezi ukaufananisha na wimbo wa Ommy Dimpoz labda ‘Baadaye’, ni nyimbo ambazo ukizisikiliza utasikia vionjo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Oct
Man Walter kuanzisha lebo ya muziki
9 years ago
Bongo526 Oct
Man Walter aeleza kwanini wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri
9 years ago
Bongo503 Dec
Msechu: Nina nyimbo 17 nilizorekodi kwa gharama kubwa lakini siwezi kuzitoa, ijue sababu
![Msechu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Msechu-300x194.jpg)
Peter Msechu amekiri kuwa nyimbo zake za mwanzo hazikufanya vizuri kwasababu zilikuwa zikokiufundi sana, lakini ‘Nyota’ ndio ilikuja kumpa majibu kwamba mashabiki wa Tanzania wanataka nyimbo nyepesi zinazoweza kukaririka kirahisi.
Msechu ameyasema hayo alipozungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio wiki hii.
“Kimuziki bado jamii yetu haijaelewa muziki wa professional…raia wa kibongo wanataka akiwa anapiga deki mmama akisikia chorus aimbe huku anapiga deki, lakini sio aanze kuhangaika...
10 years ago
Mtanzania16 May
Lowassa apandisha joto la urais
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amepandisha joto la homa ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Joto hilo amelipandisha jana huku jina lake likitajwa zaidi wiki hii bungeni na baadhi ya mahasimu wake kisiasa na wabunge wengine waliotaka asafishwe kutokana na kutuhumiwa katika kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond.
Wakati jana watu walitarajia Lowassa angetoa kauli kuhusu mambo ya urais baada ya kutumwa na Makamu wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzg8kym9fhVHmwSLMY3qZbDOp7VfcT6bdpR4IU6X8W6oJVJOTPs2fNFkGYB4ngODhNFWfXfLZgwLa7dM3URq68IB/Back.gif?width=650)
BI HARUSI APANDISHA MASHETANI KANISANI!
10 years ago
Mtanzania25 Apr
Spika Makinda apandisha joto la urais CCM
EVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.
Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.
Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...
9 years ago
Bongo519 Nov
Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi
![wakazi2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/wakazi2-300x194.jpg)
Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.
Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.
“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Serikali ianze kutayarisha Bajeti ya 2015/16