Serikali ianze kutayarisha Bajeti ya 2015/16
Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka ujao wa fedha ilipitishwa bungeni juzi baada ya wabunge kuijadili kwa siku saba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ukawa waionya Serikali bajeti 2015/16
Dodoma\Dar. Siku moja baada ya Waziri wa Fedha, Saada Mkuya kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2015/16, Waziri wa Fedha Kivuli, James Mbatia amesema watawasilisha bajeti yao ambayo kama Serikali itaipuuza, itawagharimu. Mkuya aliwasilisha Bajeti ya Serikali ambayo makadirio yake ni Sh22.4 trilioni.
10 years ago
Habarileo12 Jun
Makinda aitaka Serikali kutekeleza bajeti 2015/16
SPIKA Anne Makinda ameitaka Serikali kuhakikisha bajeti ya mwaka 2015/16 inatekelezwa ipasavyo. Makinda alitoa kauli hiyo bungeni mjini hapa jana wakati alipokuwa akiahirisha Bunge muda mfupi baada ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, kumaliza kusoma bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16.
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16
SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
MHE. OMAR YUSSUF MZEE WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR
A. UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, kama ilivyo ada kwetu sisi waumini, naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na ardhi kwa kutujaalia neema ya uhai na afya zilizotuwezesha kukutana hapa. Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu, naomba...
A. UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, kama ilivyo ada kwetu sisi waumini, naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na ardhi kwa kutujaalia neema ya uhai na afya zilizotuwezesha kukutana hapa. Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu, naomba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLID2lsULcFCV8cvGBGEwq2slszpAeXv5-jeqGFFZcvI16R3R*prhdDEB4nyzPxDz7zc1VreGzRYIILEl2-Npzf/bunge.jpg?width=650)
BUNGE LA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2015/16 LAANZA MJINI DODOMA
MKUTANO wa 20 na wa mwisho wa Bunge la 10 ambalo litapitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2015/16 tayari umeanza mjini Dodoma asubuhi hii. Wabunge watachangia bajeti za wizara na Bajeti Kuu ya Serikali ndani ya siku 44 ikilinganishwa na siku 56 zilizotumika kupitisha bajeti ya mwaka 2014/15 na miaka ya nyuma na bunge hilo litamalizika Juni 27. Badala ya Bunge kuanza saa 3.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana na baadaye saa 11...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Waziri Wassira ataja vipaumbele vya Serikali
>Serikali imetaja vipaumbele vyake katika mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni nishati, uchukuzi, kilimo, elimu, maji na utafutaji wa rasilimali fedha.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXwj2LF-wHYRU4GLi3lFGgmTnvKpP4jirUaodxSH61Y8G*z1XhUGcQWk8hMD1oJfvpCa4gC45SOAW2FavVre0kom/02.jpg?width=650)
BAJETI KUU YA SERIKALI: TAKRIBANI SH. TRIL. 19. 7 ZATARAJIWA KUTUMIKA MWAKA 2014/2015
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiwaasa wabunge wote kushiriki kikamilifu katika kamati zao kizalendo kwa kujali nchi yao ili ipatikane bajeti yenye tija kwa taifa leo (jana) wakati wa kupokea taarifa ya Wizara ya fedha jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasilisha taarifa ya sura ya Bajeti kuu ya Serikali kwa wabunge leo (jana) jijini Dar es salaam… ...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JF5JzD-Wz3Q/U6ANCqi4ZDI/AAAAAAAFrL8/gKzcj3p8tc0/s72-c/zitto.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-TFMnzbYClmw/VYlkZR-jErI/AAAAAAAHi2Q/JteIVj2kKcI/s72-c/20150623064932.jpg)
LOWASSA AIPIGIA KURA YA NDIO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016
![](http://1.bp.blogspot.com/-TFMnzbYClmw/VYlkZR-jErI/AAAAAAAHi2Q/JteIVj2kKcI/s640/20150623064932.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xCzanCycTBg/VYllaXGfGDI/AAAAAAAHi2g/ktdKjUSOSl0/s640/201506264932.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TFMnzbYClmw/VYlkZR-jErI/AAAAAAAHi2Q/JteIVj2kKcI/s72-c/20150623064932.jpg)
Mh. Lowassa aipigia kura ya ndio bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016
![](http://1.bp.blogspot.com/-TFMnzbYClmw/VYlkZR-jErI/AAAAAAAHi2Q/JteIVj2kKcI/s640/20150623064932.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xCzanCycTBg/VYllaXGfGDI/AAAAAAAHi2g/ktdKjUSOSl0/s640/201506264932.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania