Ukawa waionya Serikali bajeti 2015/16
Dodoma\Dar. Siku moja baada ya Waziri wa Fedha, Saada Mkuya kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2015/16, Waziri wa Fedha Kivuli, James Mbatia amesema watawasilisha bajeti yao ambayo kama Serikali itaipuuza, itawagharimu. Mkuya aliwasilisha Bajeti ya Serikali ambayo makadirio yake ni Sh22.4 trilioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Ukawa wairarua bajeti ya Serikali
NA ARODIA PETER, Dodoma
KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imeirarua bajeti ya Serikali na kuainisha mambo mbalimbali yatakayokwamisha utekelezaji wake.
Mbali na hayo, hotuba ya Ukawa ilitoa mchanganuo unaoonyesha kwamba kutokana na ukuaji wa deni la taifa, kila Mtanzania kwa sasa anadaiwa zaidi ya Sh 800,000.
Akisoma hotuba ya kambi hiyo bungeni jana, Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani bungeni kwa Wizara ya Fedha, James Mbatia alisema si sahihi Serikali kujigamba kuwa mwaka huu bajeti...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Serikali ianze kutayarisha Bajeti ya 2015/16
10 years ago
Habarileo12 Jun
Makinda aitaka Serikali kutekeleza bajeti 2015/16
SPIKA Anne Makinda ameitaka Serikali kuhakikisha bajeti ya mwaka 2015/16 inatekelezwa ipasavyo. Makinda alitoa kauli hiyo bungeni mjini hapa jana wakati alipokuwa akiahirisha Bunge muda mfupi baada ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, kumaliza kusoma bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16.
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16
A. UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, kama ilivyo ada kwetu sisi waumini, naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na ardhi kwa kutujaalia neema ya uhai na afya zilizotuwezesha kukutana hapa. Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu, naomba...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Viongozi wa dini waionya Serikali
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Waziri Wassira ataja vipaumbele vya Serikali
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLID2lsULcFCV8cvGBGEwq2slszpAeXv5-jeqGFFZcvI16R3R*prhdDEB4nyzPxDz7zc1VreGzRYIILEl2-Npzf/bunge.jpg?width=650)
BUNGE LA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2015/16 LAANZA MJINI DODOMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXwj2LF-wHYRU4GLi3lFGgmTnvKpP4jirUaodxSH61Y8G*z1XhUGcQWk8hMD1oJfvpCa4gC45SOAW2FavVre0kom/02.jpg?width=650)
BAJETI KUU YA SERIKALI: TAKRIBANI SH. TRIL. 19. 7 ZATARAJIWA KUTUMIKA MWAKA 2014/2015
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JF5JzD-Wz3Q/U6ANCqi4ZDI/AAAAAAAFrL8/gKzcj3p8tc0/s72-c/zitto.jpg)