Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi
Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.
Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.
“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Aug
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BONNE MWAITEGE AZINDUA ALBAMU ZAKE TATU KWA MPIGO JIJINI DAR
Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT pamoja na maaskofu wenzake wakiombea albam hizo kabla ya kuzizindua rasmi kushoto ni Alex Msama Mkurugenzi wa Kamuni ya Msama Promotion.Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT akizindua rasmi albam hizo kushoto Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama.Maaskofu na wachungaji wakiwa wameshikilia albam zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion.
Baadhi ya maaskofu na wachungaji waliohudhuria katika uzinduzi huo...
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
9 years ago
Bongo503 Dec
Msechu: Nina nyimbo 17 nilizorekodi kwa gharama kubwa lakini siwezi kuzitoa, ijue sababu
Peter Msechu amekiri kuwa nyimbo zake za mwanzo hazikufanya vizuri kwasababu zilikuwa zikokiufundi sana, lakini ‘Nyota’ ndio ilikuja kumpa majibu kwamba mashabiki wa Tanzania wanataka nyimbo nyepesi zinazoweza kukaririka kirahisi.
Msechu ameyasema hayo alipozungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio wiki hii.
“Kimuziki bado jamii yetu haijaelewa muziki wa professional…raia wa kibongo wanataka akiwa anapiga deki mmama akisikia chorus aimbe huku anapiga deki, lakini sio aanze kuhangaika...
9 years ago
Bongo513 Sep
Makamua: Nina nyimbo zaidi ya 100 zipo ndani
11 years ago
Bongo501 Aug
Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi
9 years ago
Bongo509 Oct
Black Rhino aeleza faida za msanii kurekodi nyimbo nyingi na kuziweka maktaba
9 years ago
Bongo512 Sep
T.I aachia EP ya nyimbo 5 kwa kushitukiza, Da Nic
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
JK kupokea katiba kwa nyimbo, sare
WAJUMBE wanawake wa Bunge Maalum la Katiba, wamepitisha azimio la kuvaa sare na kutunga nyimbo za kuwasifu Rais Jakaya Kikwete, Dk. Ali Mohamed Shein, Samuel Sitta na Samia Suluhu Hassan...