Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


T.I aachia EP ya nyimbo 5 kwa kushitukiza, Da Nic

Rapper T.I wa Marekani ameachia EP yenye nyimbo 5 iitwayo Da Nic kwa mtindo wa kushitukiza. Kwenye EP hiyo kuna collabo yake na Young Thug na Young Dro “Peanut Butter Jelly”, pamoja na single aliyoitoa hivi karibuni ‘Check, Run It’. Hii ni orodha ya nyimbo 5 zilizoko kwenye EP hiyo: Da Nic: 01 Broadcast Live […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’

Baada ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti. Akon ameachia nyimbo hizo kupitia website yake Akon.com Album ya “Stadium” itakuwa na album tano ndani yake na kila moja itawakilisha genre moja ambazo ni Euro, Pop, […]

 

10 years ago

Bongo5

Drake aachia nyimbo 3 mpya siku moja baada ya Bday yake (Audio)

Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo. Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25. Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na ile iliyovuja hivi […]

 

10 years ago

Michuzi

MSANII WA NYIMBO ZA INJILI, MKOANI IRINGA REHEMA CHAWE AACHIA ALBAMU YAKE YA GOSPEL

Muimbaji wa Nyimbo za Injili Rehema Chawe
MSANII wa nyimbo za Injili, nyanda za juu kusini Rehema Chawe ambaye ni Mwanachama wa chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), anatarajia kuzindua albamu yake ya kwanza, inayoitwa Kusamehe ni afya.

Uzinduzi huo unatarajia kufanyika Jumapili, March 8, mwaka katika kanisa la EAGT, Frelimo kwa mchungaji Mwenda, ambaye ni Mwenyekiti wa makanisa ya Kipentekoste mkoani Iringa.


Akizungumza na wanahabari, Chawe alisema uzinduzi huo utapambwa na waimbaji...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Kanye West aachia nyimbo 2 mpya kimya kimya – When I See I & Say You Will

Wakati mashabiki wakisubiri kwa hamu album yake mpya ‘Swish’, rapper Kanye West ameachia nyimbo mbili mpya kimya kimya kupitia akaunti yake ya SoundCloud. Wimbo wa kwanza kati ya hizo mbili ni remix ya mwimbaji wa Canada, Abel Tesfay a.k.a Weeknd “Tell Your Friends,” ambayo Kanye ameiita “When I See It.” Kwenye wimbo huu ameimba kwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi

wakazi2

Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.

wakazi2

Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.

“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...

 

9 years ago

Bongo5

Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya

Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAUZA NYUMBA KWA WAKALA WA MAJENGO YA SERIKALI.

Kutoka kushoto ni Mwanasheria  wa Shirika Bima la Taifa (NIC) Verdiana Macha,Kaimu Mkurugenzi wa Shirika Bima la Taifa (NIC),Sam Kamanga,Mkurugenzi wa wakala wa majengo ya serikali,Bartazar Kimangano na Mkurugenzi  wa utafiti na Maendeleo Asha Myanza wakisaini mikataba ya mauziano ya nyumba  zilizopo eneo la Buhire wilayani Musoma leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akimkabidhi mikataba ya mauziano ya nyumba  zilizopo  Buhire wilayani...

 

9 years ago

Dewji Blog

DJ Kflip aachia mixtape nyingine kwa youtube isikilize kwa mara ya kwanza hapa

dj kflip

Breakfast mix is a radio show mixed by DJ K FLIP Every Monday to Friday 7am to 10am (EAT)… Download JEMBE FM APP on GOOGLE PLAYSTORE to listen worldwide.

Akizungumza na Gsengo Blog DJ huyo anayepiga mzigo ndani ya moja ya Hottest radio station inayo kuja kwa kasi toka pande za Rock City, amesema kuwa huo ni mwanzo wa mpango wake wa kuachia Mix Tape kila wiki kupitia Youtube na rasmi ameanza kufanya hivyo wiki hii (leo) yenye historia kwa taifa la Tanzania ambapo taifa linashuhudia...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NIC ARUSHA YAWAKUMBUKA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE MAALUM YA DYMPHNA ILIYOPO SAKINA KWA IDD

 Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa  wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina kwa idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.
 Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza wageni ambao ni wafanyakazi wa benki ya NIC  Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC, na BENKI YA NIC wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani