Makamua: Nina nyimbo zaidi ya 100 zipo ndani
Muimbaji wa R&B, Mack Paul Sekimanga aka Makamua amewataka mashabiki wa muziki wake kusubiria ujio wake mpya akiwa chini ya Mj Records. Makamua ameiambia Bongo5 kuwa, ana nyimbo zaidi ya 100 alizorekodi katika studio tofauti tofauti ila anachohitaji sasa hivi ni ujio mpya akiwa chini ya Mj Records. “Nimefanya kazi na producers tofauti tofauti lakini […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo519 Nov
Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi
![wakazi2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/wakazi2-300x194.jpg)
Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.
Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.
“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...
10 years ago
Bongo523 Jan
Diamond, Mwana FA na Alikiba waongoza chart ya Mkito ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi
9 years ago
Bongo503 Dec
Msechu: Nina nyimbo 17 nilizorekodi kwa gharama kubwa lakini siwezi kuzitoa, ijue sababu
![Msechu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Msechu-300x194.jpg)
Peter Msechu amekiri kuwa nyimbo zake za mwanzo hazikufanya vizuri kwasababu zilikuwa zikokiufundi sana, lakini ‘Nyota’ ndio ilikuja kumpa majibu kwamba mashabiki wa Tanzania wanataka nyimbo nyepesi zinazoweza kukaririka kirahisi.
Msechu ameyasema hayo alipozungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio wiki hii.
“Kimuziki bado jamii yetu haijaelewa muziki wa professional…raia wa kibongo wanataka akiwa anapiga deki mmama akisikia chorus aimbe huku anapiga deki, lakini sio aanze kuhangaika...
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Serikali tatu au mbili zipo hata sasa ndani ya Katiba
10 years ago
CloudsFM19 Jan
H.BABA: MWAKA HUU TUZO ZANGU ZA KIFAMILIA NIMEONGEZA CATEGORY,ZIPO ZAIDI YA 20.
Mwaka 2013 ndiyo mwaka ambao msanii wa Bongo Fleva,H baba aliamua kuanzisha tuzo zake za kifamilia ambazo alizitoa kwa ajili ya familia yake,ambapo ilikuwa yeye pamoja na Mke wake Flora Mvungi.
Tuzo hizo walizipa jina la Tuzo za Familia,ambapo Flora Mvungi alipata tuzo za Msanii Bora wa filamu kwa mwaka 2014 na H baba akajipa tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa mwaka 2014.
Baadhi ya category hizo ni mtumbuizaji bora wa mwaka,msanii bora wa mwaka.
10 years ago
Vijimambo23 Apr
9 years ago
Bongo510 Sep
Naweza kuandika nyimbo 50 za mapenzi ndani ya saa 24 — Temba
9 years ago
Bongo521 Dec
Ommy Dimpoz ana nyimbo za albamu tatu ndani – Meneja
![Ommy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Ommy-1-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz ana nyimbo nyingi ndani zinazoweza kufikisha takriban albamu tatu.
Akizungumza na Bongo5 Jumamosi iliyopita kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Achia Body, meneja wake, Mubenga, alisema mpaka sasa tayari wamesharekodi nyimbo nyingi ambazo zinasubiri muda wake tu.
“Sisi hatupaniki, tunaangalia target zetu kwenye muziki,” alisema. “Tunajiuliza sasa hivi inafaa kutoa ngoma? Kwa sababu ngoma tunazo, Ommy ana nyimbo kama albamu tatu, zingine hadi mimi nimeshazizoea naziona....