Naweza kuandika nyimbo 50 za mapenzi ndani ya saa 24 — Temba
Mheshimiwa Temba anadai anaweza kuandia nyimbo 50 za mapenzi ndani ya siku moja. Temba ameiambia Bongo5 kuwa anapoamua kufanya wimbo wa mapenzi huwa haumizi kichwa kwakuwa ni maisha yake. “Mimi kwenye utunzi wa nyimbo za mapenzi siumizi kichwa kabisa, ndani ya masaa 24 ninaweza kutunga nyimbo 50 kali. Ndio maana wimbo wangu mpya nikauita Fundi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Sep
Barnaba aeleza kwanini hutumia muda mfupi kuandika nyimbo zake
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*Wm6yuRZ6x15Qf8WBae0pCp*0urHCnsE0m5RT-Dl6JZOiJXlfjNBxXiAeTqgTdh*8ZW1CyPtg6bBeSqPlUEafRo/mahaba.jpg?width=650)
KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXL*AF1fmCWxUk86LDfmEGsL87oUWr3gJlJboJ6q2cnTzpuD9GK1w6Z-dQYlHlFSpt-pxxZmVytpiaVIzz6PqrOn/passionatecouple.jpg?width=650)
KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s72-c/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
KU RECORD KIJIWE CHA UGHAIBUNI NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s640/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
Wadau wa Diaspora mnakaribishwa ku record kijiwe cha Ughaibuni siku ya jumapili tarehe 23 kuanzanzia saa 10 jioni. nyumbani kwa Dr Temba maudhui ya Kijiwe hicho ni kuzungumzia mchakato mzima wa siasa ya nchi yetu ya Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi Oct 25. Mtu yeyote anakaribishwa kuja kuchangia hoja ya mtazamo na uelewa wake juu ya yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuelekea kwenye uchaguzi. Piga simu hii #347 -475 -4313 kupata usaili wa jinsi ya kuhudhuria kijiwe hicho. Watu 10...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s72-c/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
KIJIWE CHA UGHAIBUNI NA WADAU TOKA NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s640/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s72-c/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUREKODIWA NEW YORK AUGUST 23, SAA 10 JIONI NYUMABANI KWA DR TEMBA. Posted: 12 Aug 2015 09:15 AM PDT
![](http://4.bp.blogspot.com/-JFIkif7ESkI/VctfmkNeM1I/AAAAAAAD3FY/lyg8RQr8KMA/s640/10003511_10202635835951122_1447879570_n.jpg)
Wadau wa Diaspora mnakaribishwa ku record kijiwe cha Ughaibuni siku ya jumapili tarehe 23 kuanzanzia saa 10 jioni. nyumbani kwa Dr Temba maudhui ya Kijiwe hicho ni kuzungumzia mchakato mzima wa siasa ya nchi yetu ya Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi Oct 25.
Mtu yeyote anakaribishwa kuja kuchangia hoja ya mtazamo na uelewa wake juu ya yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa kuelekea kwenye uchaguzi. Piga simu hii #347 -475 -4313 kupata usaili wa jinsi ya kuhudhuria kijiwe hicho. Watu 10...
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Nameless: Wasichana pendeni nyimbo zangu si mapenzi
NAIROBI, KENYA
STAA wa muziki nchini Kenya, David Mathenge (Nameless), amesema ubora wa nyimbo zake unasababisha apendwe na idadi kubwa ya wasichana warembo waliopo nchini humo bila kujali kwamba ni mume wa mtu.
Alisema ingawa asilimia 80 ya nyimbo zake ‘Juju’, ‘Deadly’ na ‘Butterfly’ hulenga wasichana, waishie kuzipenda nyimbo hizo na si zaidi ya hapo kwa kuwa anaiheshimu na kuijali ndoa yake.
“Sina uhakika kama wanapenda kazi zangu tu, kwa kuwa kuna wengine wanaonekana kuwa na...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5ty75VFGexI/default.jpg)