Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nameless: Wasichana pendeni nyimbo zangu si mapenzi

Nameless-David-MathengeNAIROBI, KENYA

STAA wa muziki nchini Kenya, David Mathenge (Nameless), amesema ubora wa nyimbo zake unasababisha apendwe na idadi kubwa ya wasichana warembo waliopo nchini humo bila kujali kwamba ni mume wa mtu.

Alisema ingawa asilimia 80 ya nyimbo zake ‘Juju’, ‘Deadly’ na ‘Butterfly’ hulenga wasichana, waishie kuzipenda nyimbo hizo na si zaidi ya hapo kwa kuwa anaiheshimu na kuijali ndoa yake.

“Sina uhakika kama wanapenda kazi zangu tu, kwa kuwa kuna wengine wanaonekana kuwa na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

AT: Nitatumia lugha ya Kihindi kwenye nyimbo zangu

AT...NA MWALI IBRAHIM
BAADA ya kuweza kuitumia lugha ya Kihindi vizuri, msanii wa muziki wa mduara nchini, Ally Ramadhani ‘AT’ amesema anatamani kuimba mahadhi ya Kihindi.
AT alisema lugha Kihindi ikitumika katika wimbo inaleta hamasa wakati wa kuimba na kwa anayeisikiliza.
“Mara nyingi ninapokuwa nafanya mazoezi ya kuimba huwa najitahidi kuimba nyimbo za Kihindi na Kiingereza kwa pamoja zinanisaidia kuniongezea nguvu na kuzidi kuwa imara katika uimbaji wangu, napenda sana Kihindi,”...

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana waongoza mapenzi umri mdogo

IDADI kubwa ya vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza mapenzi katika umri mdogo hivyo kujiweka katika hatari ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

Hayo yamo katika mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ya VVU kwa vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.

Ofisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/Ukimwi kutoka UNESCO, Herman Mathias, akiwasilisha mada hiyo amesema...

 

9 years ago

Bongo5

Naweza kuandika nyimbo 50 za mapenzi ndani ya saa 24 — Temba

Mheshimiwa Temba anadai anaweza kuandia nyimbo 50 za mapenzi ndani ya siku moja. Temba ameiambia Bongo5 kuwa anapoamua kufanya wimbo wa mapenzi huwa haumizi kichwa kwakuwa ni maisha yake. “Mimi kwenye utunzi wa nyimbo za mapenzi siumizi kichwa kabisa, ndani ya masaa 24 ninaweza kutunga nyimbo 50 kali. Ndio maana wimbo wangu mpya nikauita Fundi […]

 

10 years ago

Michuzi

NYIMBO MPYA YA MSANII CHIPUKIZI KUTOKA MKOA WA MBEYA SJ IITWAYO KUMBE MAPENZI

Tone Multimedia Group Kupitia Mtandao wetu wa Mbeya yetu Blog tumezimia kuanza kuwasaidia wasanii Chipukizi kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa mingine ya Jirani kimuziki kwa Kutambulisha kazi zao mbalimbali ili wadau pia mpate kuwafahamu.Tunaanza kumtambulisha kwenu Msanii wa nyimbo za kizazi kipya yaani Bongo Flava kwa jina lake halisi ni Shuku na jina la kisanii anaitwa SJ kijana ambaye yupo chini ya Mdhamini wake Mkuu Jacob Mwaisango ambaye aliona kipaji chake na kuamua kumsaidia kwa Hali na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Vijana pendeni masomo ya sayansi’

VIJANA nchini wamehamasishwa kupenda masomo ya sayansi na teknolojia kama njia mojawapo ya kuharakisha maendeleo. Ofisa Habari wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia- Mbeya, Clementina Patrick, alitoa wito huo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki wa mikoani pendeni timu zenu

Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara 2013/2014 inaendelea hivi sasa ikiwa katika mzunguko wa pili.

 

9 years ago

Bongo5

Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi

wakazi2

Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.

wakazi2

Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.

“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...

 

9 years ago

Bongo5

Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya

Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani