Wasichana waongoza mapenzi umri mdogo
IDADI kubwa ya vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza mapenzi katika umri mdogo hivyo kujiweka katika hatari ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Hayo yamo katika mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ya VVU kwa vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.
Ofisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/Ukimwi kutoka UNESCO, Herman Mathias, akiwasilisha mada hiyo amesema...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wasichana wa kifugaji waongoza kwa ufaulu
WASICHANA wa jamii ya kifugaji wa wilayani Mbulu mkoani Manyara, wameongoza ufaulu wa masomo ya Sayansi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne hadi kusababisha shule ya sekondari ya Chief Sarwatt, kushika nafasi ya kwanza wilayani humo.
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
‘Ngono umri mdogo inachangia saratani’
VITENDO vya ngono wakati wa umri ndogo vinachangia kwa kiasi kikubwa watoto wa kike kuwa na ugonjwa wa shingo ya kizazi. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri, Ofisi...
10 years ago
Mtanzania12 Jun
20 Percent: Umri wangu ni mdogo kujihusisha na siasa
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Abas Kinzasa ‘20 Percent’ amesema umri wake ni mdogo sana kujihusisha na masuala ya siasa kama ilivyo kwa rafiki yake, Afande Sele.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, 20 Percent alisema kwa sasa anajipanga kurudi upya kwenye tasnia ya muziki, baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu.
“Sijakaa kimya ili ni jihusishe na masuala ya siasa kama wengi wanavyofikiria, bali nina mipango yangu mingine kabisa,” alisema 20...
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Mbunge mwanamke mwenye umri mdogo Tanzania
11 years ago
Bongo522 Jul
Ripoti: Wanaume wa Afrika Kusini waongoza duniani kwa kufanya mapenzi mara chache zaidi
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Kuzaa katika umri mdogo hakukunifanya nikate tamaa
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Zaidi ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na umri wa chini ya miaka 18
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa masuala ya elimu kwa vijana wa bara la Afrika ili waweze kufanya maamuzi sahihi ya kiafya. Mkutano huo umeandaliwa na serikali ya Ujerumani na ulifanyika huko New York tarehe 22.9.2014.
Na Anna Nkinda – Maelezo, New York
Zaidi ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na umri wa chini ya miaka 18 kati ya hao milioni 15 wana umri wa kati ya miaka 10 hadi 14 jambo linalowasababisha kupata maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi na...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-vwZQaooWQfw/UriW0og2n2I/AAAAAAAASLA/uyqQ9PYsdJ8/s72-c/Madam-Rita.jpg)
MADAM RITA AFUNGUKA "NILIZAA KATIKA UMRI MDOGO SANA"
![](http://1.bp.blogspot.com/-vwZQaooWQfw/UriW0og2n2I/AAAAAAAASLA/uyqQ9PYsdJ8/s640/Madam-Rita.jpg)