Ripoti: Wanaume wa Afrika Kusini waongoza duniani kwa kufanya mapenzi mara chache zaidi
Imebainika kuwa wanaume wa Afrika Kusini hufanya mapenzi nusu ya wanaume wengine duniani, kwa mujibu wa survey iliyofanyika na kutangazwa Jumanne hii nchini humo. Kwa mujibu wa survey iliyofanywa na kampuni ya madawa ya Pharma Dynamics, wanaume nchini humo hufanya mapenzi kwa takriban mara 52 tu kwa mwaka. Tafiti zinaonesha kuwa wanaume wengine duniani hufanya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Apr
Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake
5 years ago
BBCSwahili18 Mar
Coronavirus: Zaidi ya watalii 1700 wawekwa karantini melini kwa hofu ya maambukizi Afrika Kusini
5 years ago
MichuziWARATIBU WA TARURA WA MIKOA WATAKIWA KUFANYA UKAGUZI WA MARA KWA MARA KATIKA MADARAJA NA BARABARA
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
10 years ago
MichuziBALOZI WA AFRIKA KUSINI ASHIRIKI KUFANYA USAFI MHIMBILI
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 5 zaidi wauawa Afrika Kusini
11 years ago
Habarileo26 Jul
Wasichana waongoza mapenzi umri mdogo
IDADI kubwa ya vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza mapenzi katika umri mdogo hivyo kujiweka katika hatari ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Hayo yamo katika mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ya VVU kwa vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.
Ofisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/Ukimwi kutoka UNESCO, Herman Mathias, akiwasilisha mada hiyo amesema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DNRCvs-5-8Fy8hzvhZpgxUi*EWugFiKTa39Av6ShBQe7tGeMzA1egcHG*TwrUXrQkU634oKx59h5JRR3pEYgNsW90zRNZI6S/AMOUR2.jpg?width=650)
QS MHONDA J ENTERTAINMENT YAMPELEKA MSANII CHIPUKIZI KUFANYA VIDEO AFRIKA KUSINI
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Kombe la dunia lilichangia mimba zaidi Afrika Kusini