QS MHONDA J ENTERTAINMENT YAMPELEKA MSANII CHIPUKIZI KUFANYA VIDEO AFRIKA KUSINI

Mwanamuziki Amour Genius. QS Mhonda J Entertainment imempeleka msanii wake chipukizi aitwaye AMOUR GENIUS nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake mpya uitwao WANIMALIZA ambao amemshirikisha ‘hit maker’ wa wimbo wa MAUMIVU – KADJA NITO. Meneja wa kampuni hiyo, Fredy Felix, amethibitisha hayo ambapo alisema mashabiki wakae mkao wa kupokea video nzuri kutoka kwa AMOUR. Pia Fredy aliongeza kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo521 Oct
Video ya msanii wa Diamond, Harmonize yashootiwa Afrika Kusini na imekamilika
10 years ago
Bongo510 Oct
Ben Pol kuelekea Afrika Kusini kufanya video ya ‘Ningefanyaje’ na Justin Campos
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Black Entertainment yageukia chipukizi
KUNDI la Black Entertainment linalojihusisha na masuala ya sanaa, limeendelea kukuza vipaji vya wasanii ambao wanachipukia katika fani hiyo ili kujitangaza kimataifa. Black Entertainment yenye maskani yake Mbagala jijini Dar...
10 years ago
Bongo523 Apr
Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake
10 years ago
MichuziMSANII WA WA AFRIKA KUSINI K.O ATUA DAR KWA ZIARA
10 years ago
VijimamboMSANII WA AFRIKA KUSINI K.O ATUA DAR KWA ZIARA YA KIMZIKI
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
MARK MUGA: Msanii aliyeishi Afrika Kusini miaka 15 bila mafanikio
WIMBO ulioimbwa na mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, unaojulikana kwa jina la ‘Mark Muga’ ni maisha ya kweli ya mhusika aliyeimbwa. Hata hivyo Mark Muga mwenyewe...
10 years ago
MichuziBALOZI WA AFRIKA KUSINI ASHIRIKI KUFANYA USAFI MHIMBILI
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Msanii Bobo Seretsane “Bo” wa Afrika kusini afagilia muziki wa Tanzania, apongeza tamasha Karibu Music!
Msanii nyota wa Afrika Kusini, Bo Denim “Bo” akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la msimu wa pili la Karibu Music Festival..!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[BAGAMOYO-TANZANIA] Mwanamuziki nyota kutoka Afrika Kusini Bo Denim maarufu ‘Bo’ amewashukuru waandaji wa tamasha la Music Festival linalofanyika kila mwaka mjini hapa huku likihusisha vikundi na wanamuziki mbalimbali kutoka mataifaa tofauti ya Afrika nan je ya Afrikaa.
Bo ambaye usiku wa jana Novemba 7, aliweza kupiga shoo hiyo kwa...