Kombe la dunia lilichangia mimba zaidi Afrika Kusini
Mashindano ya kombe la dunia ya mwaka 2010 nchini Afrika Kusini, yalichochea ongezeko la idadi ya watoto wa kiume waliozaliwa miezi tisa baada ya mashindano hayo kuanza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 May
Ghasia zaidi kupinga kombe la dunia
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Sudan Kusini kucheza mechi ya kwanza Kombe la Dunia
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Kombe la dunia:Timu 3 za Afrika zashindwa
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mechi tano zitakazoamua hatma Afrika Kombe la Dunia, Brazil
MAADAMU kila kundi lina timu nne katika fainali ya Kombe la Dunia, kila moja itacheza mechi tatu kuwania tiketi mbili za kucheza hatua ya mtoano itakayokuwa na timu 16. Lakini,...
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 5 zaidi wauawa Afrika Kusini
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Mandela aivuta dunia kuhamia Afrika Kusini
9 years ago
Bongo517 Nov
Davido avamiwa na kuporwa zaidi ya shilingi milioni 118 Afrika Kusini
![Davido](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Davido-300x194.jpg)
Staa wa Nigeria Davido amekutana na janga weekend iliyopita baada ya kuvamiwa mitaa ya Sandton, jijini Johannesburg , Afrika Kusini na kuporwa $55,000 sawa na zaidi ya shilingi milioni 118.
Baada ya tukio hilo Davido amesimulia kilichotokea kupitia Twitter. Amesema kuwa mbali na pesa hizo pia wamechukua saa mbili aina ya Rolex. Davido na meneja wake walikutwa na janga hilo wakiwa njiani wakirejea hotelini . Hata hivyo hakuna yeyote aliyejeruhiwa.
Thank God for my life…. If not for...
9 years ago
Bongo510 Nov
DJ mdogo zaidi wa Afrika Kusini mwenye miaka 3 ashinda shindano la SA’s Got Talent 2015 (video)
![dj Arch](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/dj-Arch-300x194.jpg)
DJ Arch Jnr ndiye DJ mdogo zaidi wa Afrika Kusini aliyeibuka mshindi wa shindano la South Africa’s Got Talent 2015 na kuondoka na zawadi kubwa ya R500,000 (shilingi milioni 74) baada ya kuwashinda washiriki wengine sita katika fainali iliyofanyika Jumapili ya Nov.8 jijini Johannesburg.
Oratilwe Hlongwane a.k.a DJ Arch Jnr mwenye umri wa miaka 3 ndiye mshindi wa kwanza mwenye umri mdogo katika historia ya mashindano hayo.
We have a winner! Congratulations DJ Arch Jnr....