Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ngono umri mdogo inachangia saratani’

VITENDO vya ngono wakati wa umri ndogo vinachangia kwa kiasi kikubwa watoto wa kike kuwa na ugonjwa wa shingo ya kizazi. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri, Ofisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wasichana waongoza mapenzi umri mdogo

IDADI kubwa ya vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza mapenzi katika umri mdogo hivyo kujiweka katika hatari ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

Hayo yamo katika mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ya VVU kwa vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.

Ofisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/Ukimwi kutoka UNESCO, Herman Mathias, akiwasilisha mada hiyo amesema...

 

9 years ago

Habarileo

Ngono salama kuepusha saratani ya shingo ya kizazi

WATANZANIA hususan w a n a w a k e wametakiwa kufanya ngono salama kuepuka maambukizi ya saratani ya shingo ya kizazi, yanayoelezwa kusababishwa na kirusi cha binadamu (Human Papilloma), kinachosambazwa kwa njia hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbunge mwanamke mwenye umri mdogo Tanzania

Bi Halima Abdallah, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania.

 

10 years ago

Mtanzania

20 Percent: Umri wangu ni mdogo kujihusisha na siasa

20%NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Abas Kinzasa ‘20 Percent’ amesema umri wake ni mdogo sana kujihusisha na masuala ya siasa kama ilivyo kwa rafiki yake, Afande Sele.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, 20 Percent alisema kwa sasa anajipanga kurudi upya kwenye tasnia ya muziki, baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu.
“Sijakaa kimya ili ni jihusishe na masuala ya siasa kama wengi wanavyofikiria, bali nina mipango yangu mingine kabisa,” alisema 20...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuzaa katika umri mdogo hakukunifanya nikate tamaa

Unapotaja orodha ya wanawake maarufu hapa nchini huwezi kulikosa jina la Rita Paulsen. Mama huyu anayefahamika zaidi kama Madam Rita ni miongoni mwa wanawake wenye mchango mkubwa katika maendeleo ya vijana.

 

9 years ago

GPL

UMRI MDOGO+ PESA+UMAARUFU = VITUKO VYA JUSTIN BIEBER

Justin Bieber. KAMA wewe ni mdau wa burudani, Jina la JUSTIN BIEBER linaweza lisiwe geni masikioni mwako hasa kutokana na umaarufu mkubwa alioupata kupitia kipaji chake cha uimbaji tangu akiwa kijana mdogo. Bieber aliyeanza kutambulika mwaka 2008 akiwa na miaka 14 na kujulikana zaidi kupitia kibao chake cha Baby alichomshirikisha mkali wa Hip Hop,Ludacris, ameweza kuwa mmoja kati ya wasanii wenye umri mdogo wanaoingiza mkwanja...

 

10 years ago

Vijimambo

MADAM RITA AFUNGUKA "NILIZAA KATIKA UMRI MDOGO SANA"

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa.Kupitia Facebook, Madam Rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika katika hali hiyo kutokata tamaa kwakuwa bado wanaweza kufanikiwa. “Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi, Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI MRINDOKO MGOMBEA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI KILIMANJARO

Moshi,Kilimanjaro,
Wakati tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi mkuu 2015,mengi ya kufurahisha yanahibuka kama vile wananchi wa jimbo la Moshi Mjini kumshawishi mgombea waokijana Daudi Babu Mrindoko achukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo 2015,na kumiminia sifa zote zinazofaa kijana huyo wa mjini Moshi achaguliwe.wakazi hao wa jimbo la Moshi Mjini kwa sasa wanadai kuwa kijana wao waliomshawishi achukue fomu ndiye Mgombea kijana mwenye umri mdogo kuliko wengine wote wenye nia ya kugombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani