20 Percent: Umri wangu ni mdogo kujihusisha na siasa
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Abas Kinzasa ‘20 Percent’ amesema umri wake ni mdogo sana kujihusisha na masuala ya siasa kama ilivyo kwa rafiki yake, Afande Sele.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, 20 Percent alisema kwa sasa anajipanga kurudi upya kwenye tasnia ya muziki, baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu.
“Sijakaa kimya ili ni jihusishe na masuala ya siasa kama wengi wanavyofikiria, bali nina mipango yangu mingine kabisa,” alisema 20...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Shiuma yakanusha kujihusisha na siasa
SHIRIKA la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), lenye makao yake makuu mkoani hapa limekanusha uvumi wa kujihusisha na baadhi ya vyama vya siasa nchini. Kauli hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti...
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Izo Business: Sioni umuhimu wa kujihusisha na siasa
NA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAAM
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.
“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu...
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Wasanii kujihusisha na siasa, ni faida ama hasara?
10 years ago
CloudsFM03 Feb
Izo Business asema haoni umuhimu wa kujihusisha na siasa
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu nigombee nafasi mbalimbali,” alisema...
10 years ago
Michuzi11 Dec
KATIBU WA CCM MKOANI IRINGA AWAONYA WANAVYUO KUJIHUSISHA NA MASWALA YA SIASA
![](https://2.bp.blogspot.com/-0mNiL2IDrB4/VIkai64JxoI/AAAAAAAB0DI/dmHgO2AvWcw/s1600/IMG_20141209_163002.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-4XqxrNnBcFs/VIkaDrF1_rI/AAAAAAAB0Cw/6gKBOjbTLko/s1600/IMG_20141209_162327.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-kuczFux7Yo4/VIkaWLDwSQI/AAAAAAAB0DA/L-eEPoTAjlE/s1600/IMG_20141209_162448.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-3EhKibEt_tM/VIkauUQFGGI/AAAAAAAB0DQ/zRueHD3Tn3Q/s1600/IMG_20141209_162514.jpg)
Na Fredy Mgunda, Iringa. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Iringa HASSANI MTENGA, amefungua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa semtema mkoani Iringa.
Akiwahutubia mamia ya wananchi wa mtaa wa semtema...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
‘Ngono umri mdogo inachangia saratani’
VITENDO vya ngono wakati wa umri ndogo vinachangia kwa kiasi kikubwa watoto wa kike kuwa na ugonjwa wa shingo ya kizazi. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri, Ofisi...
11 years ago
Habarileo26 Jul
Wasichana waongoza mapenzi umri mdogo
IDADI kubwa ya vijana hususan wa kike wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaanza mapenzi katika umri mdogo hivyo kujiweka katika hatari ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Hayo yamo katika mada kuhusu tabia hatarishi zinazochangia maambukizi mapya ya VVU kwa vijana katika warsha ya siku tatu ya Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika katika Kituo cha Redio cha Nuru FM mjini Iringa.
Ofisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/Ukimwi kutoka UNESCO, Herman Mathias, akiwasilisha mada hiyo amesema...
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Mbunge mwanamke mwenye umri mdogo Tanzania