Shiuma yakanusha kujihusisha na siasa
SHIRIKA la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma), lenye makao yake makuu mkoani hapa limekanusha uvumi wa kujihusisha na baadhi ya vyama vya siasa nchini. Kauli hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 Jun
20 Percent: Umri wangu ni mdogo kujihusisha na siasa
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Abas Kinzasa ‘20 Percent’ amesema umri wake ni mdogo sana kujihusisha na masuala ya siasa kama ilivyo kwa rafiki yake, Afande Sele.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, 20 Percent alisema kwa sasa anajipanga kurudi upya kwenye tasnia ya muziki, baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu.
“Sijakaa kimya ili ni jihusishe na masuala ya siasa kama wengi wanavyofikiria, bali nina mipango yangu mingine kabisa,” alisema 20...
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Wasanii kujihusisha na siasa, ni faida ama hasara?
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Izo Business: Sioni umuhimu wa kujihusisha na siasa
NA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAAM
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.
“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu...
10 years ago
CloudsFM03 Feb
Izo Business asema haoni umuhimu wa kujihusisha na siasa
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu nigombee nafasi mbalimbali,” alisema...
10 years ago
Michuzi11 Dec
KATIBU WA CCM MKOANI IRINGA AWAONYA WANAVYUO KUJIHUSISHA NA MASWALA YA SIASA
![](https://2.bp.blogspot.com/-0mNiL2IDrB4/VIkai64JxoI/AAAAAAAB0DI/dmHgO2AvWcw/s1600/IMG_20141209_163002.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-4XqxrNnBcFs/VIkaDrF1_rI/AAAAAAAB0Cw/6gKBOjbTLko/s1600/IMG_20141209_162327.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-kuczFux7Yo4/VIkaWLDwSQI/AAAAAAAB0DA/L-eEPoTAjlE/s1600/IMG_20141209_162448.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-3EhKibEt_tM/VIkauUQFGGI/AAAAAAAB0DQ/zRueHD3Tn3Q/s1600/IMG_20141209_162514.jpg)
Na Fredy Mgunda, Iringa. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Iringa HASSANI MTENGA, amefungua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa semtema mkoani Iringa.
Akiwahutubia mamia ya wananchi wa mtaa wa semtema...
9 years ago
Habarileo14 Sep
Serikali yakanusha kuzuia watumishi kushiriki siasa
SERIKALI imekanusha kupiga marufuku ushiriki wa watumishi na rasilimali za umma katika kampeni za kisiasa na kuwataka Watanzania kupuuza upotoshaji huo. Aidha imesema kinachokatazwa ni ushiriki usiofuata utaratibu na kubainisha kwamba kiongozi wa serikali (Mkuu wa Wilaya ama Mkoa) akiwa katika kutekeleza majukumu yake katika maeneo hayo, hazuiwi kutumia vitendea kazi vyake.
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Matajiri waonywa kujihusisha na ujangili
MATAJIRI nchini wametakiwa kuacha kuwatumia vijana kujihusisha na ujangili kwenye hifadhi za taifa. Rai hiyo ilitolewa na Mkuu wa Hifadhi ya Kitulo, Pius Mzimbe, alipozungumza na Tanzania Daima katika Kijiji...
10 years ago
CloudsFM26 Jan
ALI KIBA AKANA KUJIHUSISHA NA IMANI ZA KISHIRIKINA LEADERS
Tamasha lililofanyika Jumamosi iliyopita pande za Leaders limezua utata baada ya vituko vingi kutokea huku staa wa Bongo Fleva,Ali Kiba kuhusishwa na imani za kishirikina baada ya kushindwa kupita getini na kuruka ukuta.
Mlinzi wa getini hapo amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa Ali Kiba alifika getini lakini cha kushangaza hakupita mlangoni aliruka ukuta na kuingia ndani. ‘’Ali Kiba alifika hapa wenzake mimi nilikuwa hapa getini lakini nikashangaa ameruka ukuta’,alisema mlinzi...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mPNKZ1VMfhM/default.jpg)