Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki wa mikoani pendeni timu zenu

Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara 2013/2014 inaendelea hivi sasa ikiwa katika mzunguko wa pili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MASHABIKI WA TIMU NEW GENERATION WAMSHUSHIA KIPIGO MWAMUZI

Mwamuzi Kabwe Corona akirushiwa maneno na wachezaji wa timu ya New generation inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro. Mashabiki wanaodaiwa kuwa ni wa timu ya New Generation wakivamia uwanja kwa ajili ya kutoa kichapo kwa mwamuzi. Mwamuzi Corona Kabwe akijitahidi kujitetea. Baadae New generation wakakubali penati ipigwe. Kocha wa timu ya New generation Isaack Gamba akitulizwa na kocha Norman Kayange wakati akilalamikia penati hiyo. Baada ya penati...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashabiki wa Barcelona wagomea uzi mpya wa timu yao

Nguvu ya umma haizuiliki. Hivyo, ndivyo unavyoweza kueleza uamuzi wa mashabiki wa klabu ya Barcelona kukataa jezi mpya za klabu hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Timu za ligi kuu shinyanga awaomba mashabiki kujenga mshikamano

 Wakati mkoa wa Shinyanga ukijipanga kuongeza zaidi timu za ligi kuu, mkuu wa mkoa huo Alhaj Ally Nassoro Lufunga amewakumbusha mashabiki kujenga mshikamano ili malengo hayo yatimie.

Mkuu huyo wa mkoa ambaye ni shabiki wa michezo amewataka mashabiki wa soka mkoani humo wajenge wivu wa kimaendeleo na siyo malumbano ambayo mwisho wake siyo mzuri.

 

Rai hiyo ya mkuu wa mkoa ameitoa baada ya kubaini kuwepo na kinyongo kutoka kwa mashabiki Mwadui FC kwa madai Serikali mkoani humo na wadau wa...

 

10 years ago

Michuzi

DRFA yawataka mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar

Uongozi wa chama  cha soka mkoa wa Dar es salaam, DRFA,umewaomba,mashabiki na wote wenye mapenzi mema ya kandanda,kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar es salaam zinazoshiriki ligi kuu,Daraja la kwanza na michuano ya taifa Cup wanawake ,ili kutoa hamasa kwa wachezaji.
Leo (januari 28) kutakuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu kwa timu ya Simba ya Dar es salaam dhidi ya Mbeya City ya Mbeya,mchezo ambao utakaopigwa katika uwanja wa taifa jijini.
Itakumbukwa kwamba katika mechi mbili za ligi...

 

5 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wa Bayern Munich wafanya fujo baada ya timu kupokea kichapo

Katika mchezo wa soka kuna matokeo makubwa matatu, ambayo ni pamoja na kushinda, kufungwa na kutoka suluhu – Lakini habari nzuri ambazo mashabiki wanapenda kuzisikia ni kupata ushindi kwa timu yao wanayoishabikia.

Usiku wa kumakia leo mashabiki wa Bayern Munich waliamua kuanzisha ugomvi wakati timu yao ilipokumbana na kichapo cha magoli 4-2 wakiwa ugenini, kutoka kwa Real Madrid huku wakishuhudia mchezaji wao Artulo Vidal, akipata kadi nyekundu dakika katika dakika ya 84.

Tazama picha za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Vijana pendeni masomo ya sayansi’

VIJANA nchini wamehamasishwa kupenda masomo ya sayansi na teknolojia kama njia mojawapo ya kuharakisha maendeleo. Ofisa Habari wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia- Mbeya, Clementina Patrick, alitoa wito huo...

 

9 years ago

Mtanzania

Nameless: Wasichana pendeni nyimbo zangu si mapenzi

Nameless-David-MathengeNAIROBI, KENYA

STAA wa muziki nchini Kenya, David Mathenge (Nameless), amesema ubora wa nyimbo zake unasababisha apendwe na idadi kubwa ya wasichana warembo waliopo nchini humo bila kujali kwamba ni mume wa mtu.

Alisema ingawa asilimia 80 ya nyimbo zake ‘Juju’, ‘Deadly’ na ‘Butterfly’ hulenga wasichana, waishie kuzipenda nyimbo hizo na si zaidi ya hapo kwa kuwa anaiheshimu na kuijali ndoa yake.

“Sina uhakika kama wanapenda kazi zangu tu, kwa kuwa kuna wengine wanaonekana kuwa na...

 

5 years ago

Michuzi

TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA

Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani