MASHABIKI WA TIMU NEW GENERATION WAMSHUSHIA KIPIGO MWAMUZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-OomTon_uwoE/UxQFgiSulcI/AAAAAAAABTU/RpFFjVRBfFU/s72-c/564701_707721799262447_1185911783_n.jpg)
Mwamuzi Kabwe Corona akirushiwa maneno na wachezaji wa timu ya New generation inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.
Mashabiki wanaodaiwa kuwa ni wa timu ya New Generation wakivamia uwanja kwa ajili ya kutoa kichapo kwa mwamuzi.
Mwamuzi Corona Kabwe akijitahidi kujitetea.
Baadae New generation wakakubali penati ipigwe.
Kocha wa timu ya New generation Isaack Gamba akitulizwa na kocha Norman Kayange wakati akilalamikia penati hiyo.
Baada ya penati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yxtMjfKuDDs/VCqsoKX9MII/AAAAAAAGmuI/uaGYBzvEgGk/s72-c/01.jpg)
Timu ya Habari yatoa kipigo kwa RAS Simiyu katika mashindano ya SHIMIWI
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Watumishi wa Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea mjini Morogoro.
Wakicheza kwa kuonana timu hiyo ikiongozwa na Nahodha wao Carlos Mlinda walilisakama lango la wapinzani wao RAS Simiyu ambapo katika kipindi cha kwanza mcheza aliyevalia jezi yenye namba 11 Erick Mfugale aliwapatia goli la...
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Mashabiki wa mikoani pendeni timu zenu
9 years ago
StarTV24 Aug
Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3yxJUEbx6U/VdmZnmQQGuI/AAAAAAABm1I/-CU5iUl2nIw/s640/13dc4207e53088253da60d7926d652d7.jpg)
TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Mashabiki wa Barcelona wagomea uzi mpya wa timu yao
9 years ago
StarTV07 Sep
Timu za ligi kuu shinyanga awaomba mashabiki kujenga mshikamano
Wakati mkoa wa Shinyanga ukijipanga kuongeza zaidi timu za ligi kuu, mkuu wa mkoa huo Alhaj Ally Nassoro Lufunga amewakumbusha mashabiki kujenga mshikamano ili malengo hayo yatimie.
Mkuu huyo wa mkoa ambaye ni shabiki wa michezo amewataka mashabiki wa soka mkoani humo wajenge wivu wa kimaendeleo na siyo malumbano ambayo mwisho wake siyo mzuri.
Rai hiyo ya mkuu wa mkoa ameitoa baada ya kubaini kuwepo na kinyongo kutoka kwa mashabiki Mwadui FC kwa madai Serikali mkoani humo na wadau wa...
5 years ago
Bongo514 Feb
Picha: Mashabiki wa Bayern Munich wafanya fujo baada ya timu kupokea kichapo
Katika mchezo wa soka kuna matokeo makubwa matatu, ambayo ni pamoja na kushinda, kufungwa na kutoka suluhu – Lakini habari nzuri ambazo mashabiki wanapenda kuzisikia ni kupata ushindi kwa timu yao wanayoishabikia.
Usiku wa kumakia leo mashabiki wa Bayern Munich waliamua kuanzisha ugomvi wakati timu yao ilipokumbana na kichapo cha magoli 4-2 wakiwa ugenini, kutoka kwa Real Madrid huku wakishuhudia mchezaji wao Artulo Vidal, akipata kadi nyekundu dakika katika dakika ya 84.
Tazama picha za...
10 years ago
Michuzi28 Jan
DRFA yawataka mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar
Leo (januari 28) kutakuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu kwa timu ya Simba ya Dar es salaam dhidi ya Mbeya City ya Mbeya,mchezo ambao utakaopigwa katika uwanja wa taifa jijini.
Itakumbukwa kwamba katika mechi mbili za ligi...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Yanga walia na mwamuzi
BAADA ya Yanga kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya mahasimu wao Simba, Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm, amemtupia lawama mwamuzi Dominic Nyamisana wa Dodoma kwa madai ya...