Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Black Rhino aeleza faida za msanii kurekodi nyimbo nyingi na kuziweka maktaba

Rapper Black Rhino anawakumbusha wasanii wenzake faida za kurekodi nyimbo nyingi kila wanapopata muda na kuzihifadhi maktaba kwaajili ya matumizi ya baadae hata watakapoaga dunia. Rhino amesema faida ya kwanza msanii anapokuwa na akiba kubwa ya nyimbo ni hata atakapoaga dunia, nyimbo zake mpya zitaendelea kubaki na kuwafaidisha ndugu kutokana na mauzo ya albums. “Ni […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi

wakazi2

Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.

wakazi2

Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.

“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...

 

9 years ago

Mwananchi

Tamisemi yakiri sekondari nyingi kukosa maktaba

Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imesema shule za sekondari 100 pekee nchini ndizo zenye maktaba.

 

11 years ago

Mwananchi

Faida nyingi za uyoga kiafya

Uyoga ni miongoni mwa vyakula adimu sana duniani. Lakini ni miongoni mwa vyakula vyanye virutubisho muhimu sana kiafya tofauti na watu wengi wanavyodani.

 

9 years ago

Michuzi

READ INTERNATIONAL KUJENGA MAKTABA ZA SEKONDARI NYINGI ZAIDI NCHINI

  Muasisi wa Shirika lisilo la kiserikali la READ International, Rob Wilson (katikati) akizungumza katikasherehe za miaka 10 ya shirika hilo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya wanachama wa shirika hilo la kujitolea nchini Tanzania. READ International inatimiza miaka 10 tokea kuanzishwa ikisihirikiana na Realising Education for Development pamoja na wahisani wengine imeweza kusaidia ujenzi wa maktaba 72 na kutoa vitabu zaidi ya milioni 1.4 nchini kote. Mjumbe wa Bodi ya READ...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Akothee (Kenya) apanga kufanya remix na Black Coffee na kurekodi wimbo na Mafikizolo

Msanii wa Kenya, Akothee yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kwa shughuli binafsi, biashara na muziki. Akothee akiwa kwenye mkutano na Mkurugenzi wa Black Mango Studio ambaye ni meneja wake wa Afrika Kusini Msanii huyo aliyekuja Tanzania mwezi uliopita, yupo kwenye mazungumzo na DJ maarufu wa Afrika Kusini, Black Coffee kufanya naye remix ya wimbo wake […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Black Rhino Ft Ishmae & YoungboiVeezo – We Get it on

Hii ni video mpya ya rapper Black Rhino baada ya kimya huu ndo ujuo wake mpya akiwashirikisha Ishmae na YoungboiVeezo wimbo unaitwa “We Get It On” video imefanyika South Africa Related Tags:

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMDA) ILIVYOWEKA HISTORIA YA KUREKODI KIASI CHA MVUA NYINGI TANGU MWAKA 1970

Na Karama Kenyunko globu ya jamii.

MAMLAKA  ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwaka 2019 umeweka rekodi na  kushika nafasi ya nne kwa kuwa na kiasi cha mvua nyingi tangu mwaka 1970

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari alipokuwa akitoa uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya hewa wakati wa kikao cha Bodi ya TMA kilichofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya TMA Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

 Akizindua ripoti hiyo, Dkt. Kijazi ...

 

9 years ago

Bongo5

Nawashauri vijana wenzangu waoe mapema kama mimi — Black Rhino

Rapper Black Rhino ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao tayari wameanzisha familia. Rhino ameoa na ana mtoto mmoja wa kike. Akizungumzia upande wa pili wa maisha yake mbali na muziki, Black Rhino ambaye ni mdogo wa Professor Jay a.k.a ‘mbunge mtarajiwa’, amesema kuwa licha ya kuoa miaka mitatu iliyopita lakini anajiona alichelewa sana. “Mimi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani