READ INTERNATIONAL KUJENGA MAKTABA ZA SEKONDARI NYINGI ZAIDI NCHINI

Muasisi wa Shirika lisilo la kiserikali la READ International, Rob Wilson (katikati) akizungumza katikasherehe za miaka 10 ya shirika hilo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya wanachama wa shirika hilo la kujitolea nchini Tanzania. READ International inatimiza miaka 10 tokea kuanzishwa ikisihirikiana na Realising Education for Development pamoja na wahisani wengine imeweza kusaidia ujenzi wa maktaba 72 na kutoa vitabu zaidi ya milioni 1.4 nchini kote.
Mjumbe wa Bodi ya READ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Tamisemi yakiri sekondari nyingi kukosa maktaba
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
UNESCO kupitia READ INTERNATIONAL watoa msaada wa vitabu vya Sayansi kwa shule ya sekondari MWEDO Arumeru
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph akipolewa na Mwalimu wa Taalum na msimamizi wa Maktaba wa Shule ya wasichana ya Mwedo, Joseph Mangomes alipofika shuleni hapo kukabidhi msaada wa vitabu vya masomo ya Sayansi uliotolewa na Shirika la Read International kupitia UNESCO.
Na Mwandishi wetu, Arumeru
Wanafunzi wa shule ya Mwedo sekondari iliyopo wilayani Arumeru wamelishukuru Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia Read International la...
11 years ago
GPL
UNESCO KUPITIA READ INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MWEDO ARUMERU
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Taasisi ya Marekani kujenga maktaba sita nchini
10 years ago
Bongo527 Nov
Weusi wapanga kujenga maktaba 100 nchini kote ili wanafunzi wajisomee
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Ujenzi wa maktaba zaidi badala ya baa; utachangia maendeleo ya lugha nchini
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Barakah Da Prince kujenga maktaba
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, ameamua kurudisha fadhila kwa kujenga maktaba ya kisasa, katika shule ya msingi aliyowahi kusoma inayoitwa Pamba iliyopo mkoani Mwanza.
Barakah alisema atatoa sehemu ya fedha zake zinazotokana na kazi yake ya muziki kwa ajili ya ujenzi wa maktaba hiyo na pia atafanya marekebisho madogo madogo kwenye majengo ya shule hiyo.
“Nimepata mafanikio kwenye muziki japo si mengi lakini nilichonacho nitakipeleka...
9 years ago
Bongo509 Oct
Black Rhino aeleza faida za msanii kurekodi nyimbo nyingi na kuziweka maktaba
9 years ago
Habarileo08 Nov
Bodi ya Maktaba yaja na mradi wa kujenga uwezo
BODI ya Huduma za Maktaba (TLSB) imeanzisha mradi wa maktaba kwa maendeleo wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 630 ili kuzijengea uwezo kwa kuzifikia kada mbalimbali kwenye jamii.