Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Marekani kujenga maktaba sita nchini

Taasisi isiyo ya kiserikali ya The Crawford Smith Foundation ya Marekani, imesema ina mpango wa kujenga maktaba sita nyingine katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

READ INTERNATIONAL KUJENGA MAKTABA ZA SEKONDARI NYINGI ZAIDI NCHINI

  Muasisi wa Shirika lisilo la kiserikali la READ International, Rob Wilson (katikati) akizungumza katikasherehe za miaka 10 ya shirika hilo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya wanachama wa shirika hilo la kujitolea nchini Tanzania. READ International inatimiza miaka 10 tokea kuanzishwa ikisihirikiana na Realising Education for Development pamoja na wahisani wengine imeweza kusaidia ujenzi wa maktaba 72 na kutoa vitabu zaidi ya milioni 1.4 nchini kote. Mjumbe wa Bodi ya READ...

 

10 years ago

Bongo5

Weusi wapanga kujenga maktaba 100 nchini kote ili wanafunzi wajisomee

Weusi wanaendelea kufikia ‘Nje ya Box’ kila kukicha. Kundi hilo linatarajia kushirikiana na Watanzania kujenga maktaba 100 katika vijiji mbalimbali vya Tanzania ili kuwahamasisha wanafunzi kujisomea. Msemaji wa kundi hilo, Nick wa Pili ameiambia 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa kundi hilo lilikuwa na mpango huo kwa miaka mingi na sasa unakaribia […]

 

10 years ago

Mtanzania

Barakah Da Prince kujenga maktaba

barakahNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, ameamua kurudisha fadhila kwa kujenga maktaba ya kisasa, katika shule ya msingi aliyowahi kusoma inayoitwa Pamba iliyopo mkoani Mwanza.

Barakah alisema atatoa sehemu ya fedha zake zinazotokana na kazi yake ya muziki kwa ajili ya ujenzi wa maktaba hiyo na pia atafanya marekebisho madogo madogo kwenye majengo ya shule hiyo.

“Nimepata mafanikio kwenye muziki japo si mengi lakini nilichonacho nitakipeleka...

 

9 years ago

Habarileo

Bodi ya Maktaba yaja na mradi wa kujenga uwezo

BODI ya Huduma za Maktaba (TLSB) imeanzisha mradi wa maktaba kwa maendeleo wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 630 ili kuzijengea uwezo kwa kuzifikia kada mbalimbali kwenye jamii.

 

10 years ago

GPL

MPANGO WA MAKTABA ZA DIJITALI WAZINDULIWA AFRIKA KUSINI, UMEWEZESHWA NA VODACOM, HUAWEI NA TAASISI YA NELSON MANDELA

Johannesburg, Midrand Idara ya elimu ya serikali ya Afrika Kusini kwa kushirikiana na makampuni ya Vodacom,Huawei na taasisi ya Nelson Mandela Foundation imezindua mpango wa maktaba kwa njia ya mtandao wa kidijitali lengo kubwa likiwa ni kuboresha huduma za elimu nchini humo.
 
Mpango huu utatekelezwa kwa kutumia programu zenye maudhui ya elimu zinazopatikana bure kwenye simu za kampuni ya Huawei zilizounganishwa na vituo...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kujenga maghala makubwa sita ya chakula

SERIKALI inatarajia kujenga maghala makubwa sita ya kuhifadhia chakula kwa teknolojia ya kisasa baada ya nchi ya Polland kukubali kuikopesha Tanzania fedha za ujenzi wake kwa riba nafuu. Aidha, Serikali inaanza mikakati ya kuhakikisha wakulima nchini wanapata soko la vyakula nchini Omani, baada ya kubainika nchi hiyo inatumia zaidi ya Sh bilioni 30 kununua vyakula katika nchi mbalimbali.

 

11 years ago

GPL

MARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI‏

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...

 

11 years ago

Michuzi

MARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Balozi huyo alipotembelea Ubalozi huo siku ya Alhamisi...

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji yafanya Mahafali yake ya Sita

Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) Dkt. Shija Kazumba (kushoto) akimkaribisha Mgeni rasmi katika maafali ya sita ya Taasisi hiyo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel ambaye pia ni mgeni rasmi wa mahafali hayo. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea risala ya wahitimu iliyosomwa na kuwasilishwa kwa mgeni rasmi na Bw. Magembe Maduhu. Naibu Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani