Serikali kujenga maghala makubwa sita ya chakula
SERIKALI inatarajia kujenga maghala makubwa sita ya kuhifadhia chakula kwa teknolojia ya kisasa baada ya nchi ya Polland kukubali kuikopesha Tanzania fedha za ujenzi wake kwa riba nafuu. Aidha, Serikali inaanza mikakati ya kuhakikisha wakulima nchini wanapata soko la vyakula nchini Omani, baada ya kubainika nchi hiyo inatumia zaidi ya Sh bilioni 30 kununua vyakula katika nchi mbalimbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA MAGHALA YA CHAKULA KIZOTA DODOMA: Mwekezaji wa Poland asema wataanza kujenga Januari, mwakani
10 years ago
Habarileo24 Nov
Serikali yapiga mnada maeneo ya maghala ya mafuta
SERIKALI imeendelea na maandalizi ya kuandaa miundombinu kwa ajili ya kuingia kwenye biashara ya gesi na mafuta, ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewauzia wafanyabiashara maeneo ya kujenga viwanda maalumu kwa ajili ya hifadhi, ujazo na usafirishaji wa mafuta na gesi.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Taasisi ya Marekani kujenga maktaba sita nchini
10 years ago
MichuziBODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA
Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...
10 years ago
VijimamboBODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA
Na Ali Issa Maelezo Zanzibar. Naibu waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mahamoud Thabiti Kombo amesema bodi ya Chakula, Madawa na Vipodozi inajenga maabara ya kisasa ya uchunguzi wa madawa , chakula na vipodozi ambayo itakuwa na ubora wa Kimataifa.
Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...
11 years ago
Michuzi13 May
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.
AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Serikali kujenga karakana NIT
SERIKALI inatarajia kujenga karakana nne katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) zitakazogharimu dola 300,000 ambazo zitakamilika mwakani. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana baada ya Kamati ya Miundombinu kutembelea...
11 years ago
Habarileo09 Jul
‘Isaidieni Serikali kujenga uchumi wa kijani’
WATAALAM wa mazingira wametakiwa kuisaidia Serikali kutengeneza Sera nzuri zitakazosaidia kujenga uchumi wa kijani. Hayo yalisemwa jana na Mhadhiri wa Idara ya Jiografia na mazingira wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Thabit Jacob, wakati wa mkutano wa Wanamazingira na watafiti wa Uchumi wa Kijani unaofanyika chuoni hapo.