Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA

Na Ali Issa Maelezo Zanzibar.                                                           Naibu waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mahamoud Thabiti Kombo amesema bodi ya Chakula, Madawa na Vipodozi inajenga maabara ya kisasa  ya uchunguzi wa madawa , chakula na vipodozi ambayo itakuwa na ubora wa Kimataifa.
Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA




Na Ali Issa Maelezo Zanzibar.                                                           Naibu waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mahamoud Thabiti Kombo amesema bodi ya Chakula, Madawa na Vipodozi inajenga maabara ya kisasa  ya uchunguzi wa madawa , chakula na vipodozi ambayo itakuwa na ubora wa Kimataifa.
Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...

 

10 years ago

Vijimambo

Jumuiya ya Afrika Mashariki yaandaa mafunzo kwa Bodi ya chakula, madawa na vipodozi

Mrajisi wa Bodi ya Chakula,Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othaman Simai akizindua Mafunzo ya siku tano ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi ambayo yanalenga kuanzisha Chombo maalum cha pamoja cha Usajili wa Dawa katika nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.Mratibu wa Mafunzo ya kuwajengea Uwezo Watendaji wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Patrick Mwesigye kutoka nchini Rwanda akitoa nasaha zake kwa Watendaji hao katika Uzinduzi wa Mafunzo hayo huko Ukumbi...

 

9 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA KONTENA TANO ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA.

Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuangamizwa.Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja.Gari la Kijiko likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO YA SIKU TATU JUU UTOAJI HUDUMA BORA.

 Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakimskiliza kwa makini Mkufunzi wa Peter Ssali (hayupo pichani) katika mafunzo yasiku tatu juu ya utoaji huduma bora kwa Bodi hiyo ili kuwa sambamba na Bodi za vyakula za Afrika Mashari.    Mkufunzi wa mafunzo ya utoaji uduma bora kwa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Bwa. Peter Ssali kutoka Uganda akifundisha katika mafunzo hayo.  Waziri wa Afya Zanzibar Juma Duni Haji akitoa tarifa kwa wandishi wa Habari juu ya...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

  Magari yakipakia Unga wa ngano mbovu katika godauni lililokuwa la Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) Mnazi mmoja, unga huo haufai kwa matumizi ya binadamu. Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwangwa eneo la Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja tayari kawa kuangamizwa. Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.

Baadh ya Maboksi ya dawa mbalimbali ambazo zimemaliza muda wake na hatari kwa matumizi ya Binaadamu, yakiangamizwa na katika viwanja vya kibeli nje ya mji wa Zanzibar Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiteremsha baadhi ya maboksi ya dawa mbalimbali, vipodozi, mchele, na tende zilizoharibika kwaajili ya kuviangamizwa.Mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakisimamia zoezi la uteketezaji wa dawa, vipodozi, mchele, na tende ambavyo vitu vyote hivyo...

 

9 years ago

Michuzi

TFDA YAZINDUA MAABARA YA KISASA YA UCHUGUZI WA MADAWA

Mkuu wa Maabara  ya Mikrobilojia wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini  (TFDA)Dk. Adelard Mtenga akitoa maelekezo juu ya kifaa  maalumu cha uchunguzi wa Vifaa tiba ikiwemo nyuzi za ushonaji pamoja na dawa za sindano  ambapo ni kifaa cha kwanza Katika  Nchi za Kusini ,Mashariki na Kati  Barani Afrika. leo Jiji Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Hiiti  Sillo akikata utepe kufungua mtambo huo leo Jiji Dar es Salaam. Katiti ni mwakilishi mkazi wa Wizara ya Afya na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani