BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.
Baadh ya Maboksi ya dawa mbalimbali ambazo zimemaliza muda wake na hatari kwa matumizi ya Binaadamu, yakiangamizwa na katika viwanja vya kibeli nje ya mji wa Zanzibar Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiteremsha baadhi ya maboksi ya dawa mbalimbali, vipodozi, mchele, na tende zilizoharibika kwaajili ya kuviangamizwa.Mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakisimamia zoezi la uteketezaji wa dawa, vipodozi, mchele, na tende ambavyo vitu vyote hivyo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU
9 years ago
MichuziBODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA KONTENA TANO ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA.
11 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO YA SIKU TATU JUU UTOAJI HUDUMA BORA.
5 years ago
MichuziWAKALA WA CHAKULA DAWA NA VIPODOZI WATOA ELIMU KWA MASHEHA WA WILAYA YA MJINI
Mkurugenzi wa Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Khamis Ali Omar amewataka wananchi kujitahadhari na matumizi ya chakula na dawa ambazo zimemaliza muda na vipodozi ambavyo havijathibitishwa ili kuepuka maradhi yatokanayo na sumu .
Hayo aliyasema huko katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Sebleni wakati akitoa Mafunzo ya usalama wa chakula dawa na vipodozi kwa Masheha wa Wilaya hiyo na kuwataka ushirikiano wa pamoja ili kuhakikisha wanathibitisha ...
10 years ago
VijimamboBODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA
Na Ali Issa Maelezo Zanzibar. Naibu waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mahamoud Thabiti Kombo amesema bodi ya Chakula, Madawa na Vipodozi inajenga maabara ya kisasa ya uchunguzi wa madawa , chakula na vipodozi ambayo itakuwa na ubora wa Kimataifa.
Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...
10 years ago
MichuziBODI YA CHAKULA,MADAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR KUJENGA MAABARA YA KISASA YA KIMATAIFA
Hayo ameyasema leo huko Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Mhe. Jaku Hashimu Ayoub aliyetaka kujua...
10 years ago
VijimamboMamlaka ya chakula na dawa nchini (Tanzania) yafuta usajili wa dawa aina Tano za binadamu - Tanzania
Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA imefuta usajili wa dawa za binadamu aina Tano na kuamuru ziondolewe sokoni na vituo vyote vya kutolea huduma za afya mchini kote mara moja kutokana na kubainika kuwa na viambata vinavyosababisha maradhi sugu ikiwemo kiharusi, na wakati mwingine kusababisha vifo.
Dawa zinazotajwa kufutiwa usajiri na kuzuia uingizwaji kuwa ni pamoja na dawa za kutibu maralia ya maji na vidonge aina ya...
10 years ago
VijimamboJumuiya ya Afrika Mashariki yaandaa mafunzo kwa Bodi ya chakula, madawa na vipodozi