Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yapiga mnada maeneo ya maghala ya mafuta

SERIKALI imeendelea na maandalizi ya kuandaa miundombinu kwa ajili ya kuingia kwenye biashara ya gesi na mafuta, ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewauzia wafanyabiashara maeneo ya kujenga viwanda maalumu kwa ajili ya hifadhi, ujazo na usafirishaji wa mafuta na gesi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapiga mnada madini

>Serikali imeuza kwa mnada aina mbalimbali ya madini yenye thamani ya zaidi ya Sh100 milioni yaliyokamatwa wakati yakitoroshwa nje ya nchi.

 

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

10 years ago

Mwananchi

Maghala ya mafuta kujengwa nchini

Kampuni ya ENOC Africa inayojihusisha na ununuzi wa mafuta, gesi na usafirishaji nchini imejipanga kupanua shughuli zake kwa kujenga maghala ya kuhifadhia bidhaa ya mafuta ya petroli, jitihada zitakazohakikisha kuwa Tanzania na nchi za jirani zinakuwa na akiba ya kutosha katika miezi miaka michache ijayo.

 

10 years ago

Michuzi

TMAA yapiga mnada madini yaliyokamatwa yakitoroshwa nje ya nchi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eng. Ngosi Mwihava akizungumza kabla ya kuanza kwa mnada wa kwanza wa madini yaliyokamatwa yakisafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria.Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Bruno Mteta (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Madini Tanzania, Richard Kasesera (wa pili kulia), Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Uchumi na Biashara, Salim Salim...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kujenga maghala makubwa sita ya chakula

SERIKALI inatarajia kujenga maghala makubwa sita ya kuhifadhia chakula kwa teknolojia ya kisasa baada ya nchi ya Polland kukubali kuikopesha Tanzania fedha za ujenzi wake kwa riba nafuu. Aidha, Serikali inaanza mikakati ya kuhakikisha wakulima nchini wanapata soko la vyakula nchini Omani, baada ya kubainika nchi hiyo inatumia zaidi ya Sh bilioni 30 kununua vyakula katika nchi mbalimbali.

 

10 years ago

StarTV

China yapiga marufuku uvutaji wa sigara maeneo ya wazi.


Watakaokiuka sheria ya uvutaji sigara mjini Beijing kupigwa faini

Serikali ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing.

Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.

Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka.

Ripoti inasema...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNIDO yapiga jeki viwanda vidogo vya mafuta ya alizeti Dodoma

IMG_2196

Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Glory Farm & Agricultural Products, Justin Nyamoga akitoa maelezo jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi zake kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) aliyeambatana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo (kushoto), Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum (kulia) pamoja...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mali ya serikali ya Zimbabwe yapigwa mnada

Nyumba inayomilikiwa na serikali ya Zimbabwe imepigwa mnada Cape Town, katika hatua ya kihistoria fani ya sheria ya kimataifa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanki mafuta lalipuka na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri maeneo ya Shelui Singida

Untitled 4

Baadhi ya wananchi wakipiga picha wakati tanki la mafuta la kampuni ya B. Clarke Haulege Construction, Tanki hilo ni mali ya Bw. Bundala Kapela wa Igunga ni namba T634 BCZ lenye vyumba vinne na uwezo wa kubeba lita 40.000 za mafuta ya Petroli lililipuka majira ya Saa 11:00 katika barabara kuu ya Dodoma Mwanza eneo la Shelui mkoani Singida wakati breki za tanki hilo upande wa kushoto zilipojam na kusababisha moto, Jambo lililomfanya dereva wa roli lenye namba za usajiri T 164 CGF aina ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani