Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mali ya serikali ya Zimbabwe yapigwa mnada

Nyumba inayomilikiwa na serikali ya Zimbabwe imepigwa mnada Cape Town, katika hatua ya kihistoria fani ya sheria ya kimataifa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Nyumba ya Capt.John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada Baada ya Kushindwa Kulipa Deni

Nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni Mstaafu, John Komba (CCM), yapigwa mnada. Nyumba hiyo ipo Kinondoni Maeneo ya Mbezi katika Jimbo la Kawe. Nyumba hiyo ipo katika kitalu namba 1030. Habari hii imechapishwa kwenye Gazeti la The Guardian la leo ukurasa wa 11.Siku za nyuma Komba alikua anadaiwa na bank ya CRDB millioni 900 aloshindwa kulipa. Hapo nyuma alijenga Shule inayooitwa Bakil Muluzi kule maeneo ya Mbweni, lakini biashara haikwenda vizuri. Ile Shule haifanyi vyema sana...

 

10 years ago

Mwananchi

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada

Mali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba zimetangazwa kupigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa deni analodaiwa na Benki ya CRDB.

 

5 years ago

Michuzi

Mnada wa Mali za Ubalozi wa Marekani na Switzerland Februari 22, 2020

Tunapenda kukujulisha mnada mkubwa wa Magari, Furniture za majumbani,Mafridge, Generator na vitu vingine vingi kutoka Ubalozi wa Marekani na Switzerland.
Mnada utafanyika siku ya Jumamosi ya wiki hii Februari 22, 2020 kuanzia saa 4 asubuhi. Mahali: Golden Resort,  Sinza jirani na Lion Hotel, Dar es salaam

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia:Zimbabwe yapigwa marufuku

Zimbabwe imepigwa marufuku kushiriki katika mechi za kufuzu kwa kombe la dunia la mwaka 2018

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapiga mnada madini

>Serikali imeuza kwa mnada aina mbalimbali ya madini yenye thamani ya zaidi ya Sh100 milioni yaliyokamatwa wakati yakitoroshwa nje ya nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yapiga mnada maeneo ya maghala ya mafuta

SERIKALI imeendelea na maandalizi ya kuandaa miundombinu kwa ajili ya kuingia kwenye biashara ya gesi na mafuta, ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewauzia wafanyabiashara maeneo ya kujenga viwanda maalumu kwa ajili ya hifadhi, ujazo na usafirishaji wa mafuta na gesi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Twitter yapigwa faini na serikali Uturuki

Mamlaka ya mawasiliano nchini Uturuki imeitoza Twitter faini ya lira 150,000 lira (£33,000) kwa kukosa kuondoa “propaganda kutoka kwa magaidi”.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yapigwa butwaa uzushi siku ya uchaguzi

SERIKALI imeeleza kushangazwa na uzushi kwamba siku ya uchaguzi mkuu, data za mawasiliano pamoja na umeme vitazimwa, jambo ambalo imetaka wananchi kupuuza taarifa hizo potofu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani