Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMAA yapiga mnada madini yaliyokamatwa yakitoroshwa nje ya nchi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eng. Ngosi Mwihava akizungumza kabla ya kuanza kwa mnada wa kwanza wa madini yaliyokamatwa yakisafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria.Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Bruno Mteta (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Madini Tanzania, Richard Kasesera (wa pili kulia), Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Uchumi na Biashara, Salim Salim...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapiga mnada madini

>Serikali imeuza kwa mnada aina mbalimbali ya madini yenye thamani ya zaidi ya Sh100 milioni yaliyokamatwa wakati yakitoroshwa nje ya nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madini ya mil. 547 yanaswa yakitoroshwa nje

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umekamata watoroshaji madini aina mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 547 katika matukio 11 tofauti, kuanzia Oktoba 2013 hadi mwishoni mwa...

 

11 years ago

Habarileo

Madini ya milioni 547/= yakamatwa yakitoroshwa

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umefanikiwa kukamata watoroshaji wa madini yenye thamani ya Sh milioni 547, katika muda wa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Madini ya Sh15.8 bilioni yakamatwa yakitoroshwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA), umekamata madini yenye thamani ya Sh15.8 bilioni yaliyokuwa yakitoroshwa kwenda nje ya nchi bila ya kibali na kukwepa kulipa kodi ya mapato.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti utoroshaji wa madini nje ya nchi

Serikali imekua ikipoteza mapato mengi kutokana na utoroshwaji wa madini aina ya Tanzanite yanayopatikana nchini Tanzania pekee.  Kamishna wa Madini nchini,Eng Paul Massanja amesema leo wakati wa maonesho ya madini ya Vito yanayofanyika jijini hapa ambayo yanahudhuriwa na washiriki kutoka mataifa mbalimbali. Amesema kwa takwimu za mwaka 2013,Tanzania ilipata dola za marekani 38 milioni wakati nchi ya Kenya ilijipatia kiasi cha dola 100 milioni na India ilijikusanyia kitita cha dola 300...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti utoroshwaji wa madini nje ya nchi

Serikali imekua ikipoteza mapato mengi kutokana na utoroshwaji wa madini aina ya Tanzanite yanayopatikana nchini Tanzania pekee.
Kamishna wa Madini nchini,Eng Paul Massanja amesema leo wakati wa maonesho ya madini ya Vito yanayofanyika jijini hapa ambayo yanahudhuriwa na washiriki kutoka mataifa mbalimbali.
Amesema kwa takwimu za mwaka 2013,Tanzania ilipata dola za marekani 38 milioni wakati nchi ya Kenya ilijipatia kiasi cha dola 100 milioni na India ilijikusanyia kitita cha dola 300...

 

10 years ago

Mwananchi

TMAA yagundua njia 400 utoroshaji madini

Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA) umetangaza dau nono kwa yeyote atakayewezesha kukamatwa kwa mfanyabiashara yeyote anayesafirisha madini kwa njia za magendo kupitia njia za panya zaidi ya 400 zilizopo nchini.

 

11 years ago

Habarileo

TMAA yaokoa bilioni 15/- vita ya utoroshaji madini

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) umefanikiwa kudhibiti utoroshaji wa madini yenye thamani takribani Sh bilioni 15.72 katika viwanja vitatu vya ndege hapa nchini tangu mwezi Julai 2012 hadi Machi 2014 na imeahidi kuongeza kasi ya udhibiti.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yapiga mnada maeneo ya maghala ya mafuta

SERIKALI imeendelea na maandalizi ya kuandaa miundombinu kwa ajili ya kuingia kwenye biashara ya gesi na mafuta, ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewauzia wafanyabiashara maeneo ya kujenga viwanda maalumu kwa ajili ya hifadhi, ujazo na usafirishaji wa mafuta na gesi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani