Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMAA yaokoa bilioni 15/- vita ya utoroshaji madini

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) umefanikiwa kudhibiti utoroshaji wa madini yenye thamani takribani Sh bilioni 15.72 katika viwanja vitatu vya ndege hapa nchini tangu mwezi Julai 2012 hadi Machi 2014 na imeahidi kuongeza kasi ya udhibiti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TMAA yagundua njia 400 utoroshaji madini

Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA) umetangaza dau nono kwa yeyote atakayewezesha kukamatwa kwa mfanyabiashara yeyote anayesafirisha madini kwa njia za magendo kupitia njia za panya zaidi ya 400 zilizopo nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TMAA yaokoa bilioni 3/- Pwani, Dar

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), imeokoa zaidi ya sh bilioni 3 kwa mwaka kutokana ukusanyaji kodi katika shughuli za uchimbaji madini ya ujenzi na viwandani mikoa ya Dar...

 

10 years ago

Michuzi

TMAA yapiga mnada madini yaliyokamatwa yakitoroshwa nje ya nchi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eng. Ngosi Mwihava akizungumza kabla ya kuanza kwa mnada wa kwanza wa madini yaliyokamatwa yakisafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria.Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Bruno Mteta (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Madini Tanzania, Richard Kasesera (wa pili kulia), Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Uchumi na Biashara, Salim Salim...

 

11 years ago

Mwananchi

Madini na Ujenzi: TMAA yaamka sasa, yakusanya mabilioni ya kodi

>Kampuni zinazomiliki migodi mikubwa na ya kati nchini zimeendelea kulipa stahiki mbalimbali za Serikali, ikiwa ni pamoja na kodi ya mapato.

 

10 years ago

Habarileo

Watakiwa kudhibiti utoroshaji wa madini

WATAALAMU wanaosimamia sekta ya madini nchini wametakiwa kuongeza uwajibikaji ili kudhibiti utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi ambao umekuwa ukiikosesha serikali mapato.

 

9 years ago

Mwananchi

Sakata utoroshaji madini laendelea

Sakata la kukamatwa kwa raia wa India, Jain Anarungi kwa tuhuma za kutorosha madini ya Tanzanite yenye thamani ya Sh2.5 bilioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), limechukua sura mpya baada ya kampuni maarufu mjini hapa kutajwa kuyauza madini hayo kuanza kuchunguzwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Idara kudhibiti utoroshaji madini

>Idara ya Madini Kanda ya Kaskazini imejipanga kudhibiti vitendo vya utoroshaji wa madini nje ya nchi kwa kuweka wakaguzi katika mipaka ya Namanga, Horohoro na Holili.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru yaokoa bilioni 38.9/-

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema imeokoa zaidi ya Sh bilioni 38.9 zilizotarajiwa kuingia katika mikono ya wajanja wachache kwa mwaka wa fedha 2013/2014.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utoroshaji madini ghafi washika kasi

WAKATI serikali imepiga marufuku usafirishaji wa madini ya tanzanite nje ya nchi yakiwa ghafi, bado kumekuwepo na wimbi la usafirishaji wa madini hayo kwa kutumia njia za panya kwenye mikoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani