Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Takukuru yaokoa bilioni 38.9/-

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema imeokoa zaidi ya Sh bilioni 38.9 zilizotarajiwa kuingia katika mikono ya wajanja wachache kwa mwaka wa fedha 2013/2014.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU Njombe yaokoa Bilioni 1,769,161,693.31 kwenye chunguzi zinazohusu AMCOS na SACCOS


Na Amiri kilagalila,Njombe

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa wa Njombe imefanikiwa kuokoa Bilioni 1,769,161,693.31 kutokana na chunguzi zinazohusu AMCOS na SACCOS mkoani humo.

Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Njombe Bi,Domina Mukama ameyasema hayo wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo kwa kipindi cha Januari-Machi 2020.

“Jumla ya SACCOS na AMCOS 85 katika mkoa wa Njombe zilikuwa zinachunguzwa 14 Makambako,6 Ludewa,19 Makete,13 Wanging’ombe,35 hapa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU YAOKOA MILIONI 7 ZILIZODHULUMIWA

Na Woinde Shizza,SIHA

Taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imefanikiwa kurejesha fedha kiasi cha shilingi milioni saba laki tano na elfu tisini na mbili (7,592,000/= )kwa watumishi wa idara ya afya halmashauri ya siha,walinzi wa shamba la miti West Kilimanjaro na shule ya sekondari Magnifikacant na mama lishe Fatuma Athumani,zilizokuwa zimedhulumiwa na kufanyiwa ubadhirifu na watuhumiwa ambao ni mhasibu wa halmashauri na mlinzi mkuu wa shamba.

Zoezi la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAKUKURU yaokoa mil 100/-

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeokoa zaidi ya sh milioni 100 zilizokuwa zimeibwa na watumishi wa halmashauri za wilaya mkoani Tabora kati ya Januari na Novemba mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAOKOA MIGODINI 14 ISIFUTIWE LESENI

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoani Manyara, imewasaidia wamiliki wa migodi 14 wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro waliokuwa wafutiwe leseni zao kwa kudaiwa shilingi milioni 14.5 na Wizara ya Madini. 
Kwa mujibu wa Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu wamiliki hao 14 wa migodi walikuwa wanyang'anywe migodi hiyo kwa kutolipa ada za leseni zao. 
Makungu alisema leseni hizo zilizopo kitalu B (Opec) zilikuwa zifutwe kwa ...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU ARUMERU YAOKOA MAMILIONI YA FEDHA ZA SACCOS


Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha Frida Weresi akizungumza na waandishi wa habari juu ya chunguzi mbalimbali zinazohusiana na vyama vya ushirika AMCOS na SACCOS Mkoani Arusha.




Na.Vero Ignatus,Arusha

Taasisi ya kupambana na Rushwa mkoani Arusha Takukuru imeendelea kufanya chunguzi mbalimbali zinazohusiana na vyama vya Ushirika (AMCOS na SACCOS) kutokana na malalamiko wanayoyapokea kutoka katika vyanzo mbalimbali na ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya viongozi na wanachana hivyo kupelekea baadhi...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAOKOA SH. MILIONI 46,500,000 ZA WALIMU WASTAAFU


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh.22,500,000/= Mwalimu Loth Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida baada ya kudhulumiwa na mkopeshaji haramu.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh. 24,000,000/= Mwalimu Seleman Tyea Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida.Mwalimu Seleman Tyea Mwangu, akiwa amebeba maburungutu yake ya pesa baada...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaokoa bilioni 40/- mishahara hewa

SERIKALI imeokoa Sh bilioni 40 zinazodaiwa zilikuwa zikiingia kwenye mifuko ya watu wachache kutokana na ulipaji wa mishahara hewa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TMAA yaokoa bilioni 3/- Pwani, Dar

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), imeokoa zaidi ya sh bilioni 3 kwa mwaka kutokana ukusanyaji kodi katika shughuli za uchimbaji madini ya ujenzi na viwandani mikoa ya Dar...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU DODOMA YAOKOA MILIONI 297 NA KUSAIDIA KUKAMILIKA MRADI WA MAJI UTAKAOHUDUMIA WANANCHI 5000

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma (TAKUKURU) Sosthenes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake leo kuhusiana na tathimini ya robo ya mwaka kwa mwezi Januari hadi Machi.
Charles James, Michuzi TVTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma katika kufuatilia miradi ya maendeleo imewezesha mradi wa maji wa kijiji cha Mlongia wilayani Chemba kutoa maji na kuwafaidisha wananchi zaidi ya 5000 ambao awali hawakua na huduma ya maji.

Mradi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani