TAKUKURU DODOMA YAOKOA MILIONI 297 NA KUSAIDIA KUKAMILIKA MRADI WA MAJI UTAKAOHUDUMIA WANANCHI 5000
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma (TAKUKURU) Sosthenes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake leo kuhusiana na tathimini ya robo ya mwaka kwa mwezi Januari hadi Machi.
Charles James, Michuzi TVTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma katika kufuatilia miradi ya maendeleo imewezesha mradi wa maji wa kijiji cha Mlongia wilayani Chemba kutoa maji na kuwafaidisha wananchi zaidi ya 5000 ambao awali hawakua na huduma ya maji.
Mradi huo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAKUKURU YAOKOA MILIONI 7 ZILIZODHULUMIWA
Taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imefanikiwa kurejesha fedha kiasi cha shilingi milioni saba laki tano na elfu tisini na mbili (7,592,000/= )kwa watumishi wa idara ya afya halmashauri ya siha,walinzi wa shamba la miti West Kilimanjaro na shule ya sekondari Magnifikacant na mama lishe Fatuma Athumani,zilizokuwa zimedhulumiwa na kufanyiwa ubadhirifu na watuhumiwa ambao ni mhasibu wa halmashauri na mlinzi mkuu wa shamba.
Zoezi la...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji. Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma. Muonekano wa kisima kichozinduliwa.
5 years ago
MichuziTAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAOKOA SH. MILIONI 46,500,000 ZA WALIMU WASTAAFU
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh.22,500,000/= Mwalimu Loth Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida baada ya kudhulumiwa na mkopeshaji haramu.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh. 24,000,000/= Mwalimu Seleman Tyea Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida.Mwalimu Seleman Tyea Mwangu, akiwa amebeba maburungutu yake ya pesa baada...
10 years ago
MichuziWANANCHI KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI WASHIRIKIANA NA MBUNGE NA DIWANI WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15
Diwani wa kata ya Mlangali kushoto na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe wakijumuika na wanawake wa kijiji cha madindo kucheza kwa furaha baada ya mradi huo kukamilika ,kulia ni mbunge Filikunjombe akishuhudia Diwani wa kata ya Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe...
9 years ago
Dewji Blog24 Dec
Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...
10 years ago
MichuziNBC YAMWAGA MILIONI 62 KUSAIDIA MRADI WA USIMAMIZI WA TAKA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
5 years ago
MichuziMWAKA WA FEDHA WA 2020/ 2021 WIZARA YA MAJI KUFANYA USANIFU WA MRADI MKUBWA WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA DODOMA
10 years ago
Habarileo26 Aug
Takukuru yaokoa bilioni 38.9/-
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema imeokoa zaidi ya Sh bilioni 38.9 zilizotarajiwa kuingia katika mikono ya wajanja wachache kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10