Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaokoa bilioni 40/- mishahara hewa

SERIKALI imeokoa Sh bilioni 40 zinazodaiwa zilikuwa zikiingia kwenye mifuko ya watu wachache kutokana na ulipaji wa mishahara hewa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mishahara hewa yaizundua Serikali

Mwigulu Nchemba

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba

Aziza Masoud,Dar es Salaam

SERIKALI  imekabidhi majina ya taasisi na kampuni mbalimbali zilizohusika kutoa mishahara hewa  na kuisababishia Taifa hasara ya mabilioni ya fedha kwa vyombo vya usalama ili hatua stahiki za kisheria zichukuliwe.

Akizungumza mjini Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba alisema   baada ya kupata taarifa za ubadhilifu huo   wizara iliunda timu ambayo ilifanya uchambuzi katika baadhi ya taasisi na ...

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru yaokoa bilioni 38.9/-

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema imeokoa zaidi ya Sh bilioni 38.9 zilizotarajiwa kuingia katika mikono ya wajanja wachache kwa mwaka wa fedha 2013/2014.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TMAA yaokoa bilioni 3/- Pwani, Dar

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), imeokoa zaidi ya sh bilioni 3 kwa mwaka kutokana ukusanyaji kodi katika shughuli za uchimbaji madini ya ujenzi na viwandani mikoa ya Dar...

 

11 years ago

Habarileo

TMAA yaokoa bilioni 15/- vita ya utoroshaji madini

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) umefanikiwa kudhibiti utoroshaji wa madini yenye thamani takribani Sh bilioni 15.72 katika viwanja vitatu vya ndege hapa nchini tangu mwezi Julai 2012 hadi Machi 2014 na imeahidi kuongeza kasi ya udhibiti.

 

10 years ago

GPL

WIZI WA MISHAHARA HEWA UNADHIBITIKA

KWA mara nyingine, ninapenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuweza kunifikisha hapa leo, kiasi cha kuweza kuzungumza na nyinyi leo kupitia safu yetu hii. Ninasema kila mara kwamba ukarimu wa Mwenyezi Mungu ni wa ajabu sana, kwa sababu anaweza kutenda miujiza hata kwa watu ambao hadi leo hawajaona umuhimu wake na wanafanya mambo kana kwamba wao ndiyo wenye ufalme hapa duniani. Hakuna...

 

10 years ago

Habarileo

Waliolipa mishahara hewa kukiona

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa onyo kwa watumishi wote ambao watabainika kushiriki kulipa madeni hewa ya walimu kwa njia ya udanganyifu na wizi, kama ilivyobainika katika deni la Sh bilioni 10.5 hapo awali.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Waliolipa mishahara hewa waadhibiwe

>Kauli ya Wizara ya Fedha wiki iliyopita kwamba imeokoa zaidi ya Sh54 bilioni za malipo hewa ya mishahara na malimbikizo ya madai ya walimu ni uthibitisho tosha kwamba kuna mtandao mpana wa wizi na udanganyifu katika wizara na taasisi za Serikali unaoratibiwa na watendaji wa ngazi za juu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu: Sh1.6 trilioni mishahara hewa

Mamilioni ya fedha za umma yanatumika kwenye matamasha ya wizara, badala ya kupelekwa vijijini kuendeleza miradi ya maji.

 

9 years ago

Global Publishers

KADCO yaokoa zaidi ya bilioni 2 Uwanja wa Ndege wa KIA ndani ya wiki 1

Kaimu Mkurugenzi wa KADCO ,Bakari Murusuri |(Katikati) kushoto kwake ni mkurugenzi wa shughuli mama za kiwanja na huduma KADCO,Christopher  Mukoma na kulia kwake ni Meneja usalama wa Kiwanja, Justine Kisusi walipokutana na wanahabari . Kaimu mkurug4e3nzi wa KADCO ,Bakari Murusuri akizung4umza na wanahabari (hawako pichani ) kuhusu matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika uwanja huo. Uwanja wa ndege wa kimataifa wa  Kilimanjaro (KIA) Eneo la ndani la uwanja wa ndege wa KIA.
Na Dixon...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani