Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Waliolipa mishahara hewa waadhibiwe

>Kauli ya Wizara ya Fedha wiki iliyopita kwamba imeokoa zaidi ya Sh54 bilioni za malipo hewa ya mishahara na malimbikizo ya madai ya walimu ni uthibitisho tosha kwamba kuna mtandao mpana wa wizi na udanganyifu katika wizara na taasisi za Serikali unaoratibiwa na watendaji wa ngazi za juu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waliolipa mishahara hewa kukiona

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametoa onyo kwa watumishi wote ambao watabainika kushiriki kulipa madeni hewa ya walimu kwa njia ya udanganyifu na wizi, kama ilivyobainika katika deni la Sh bilioni 10.5 hapo awali.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoa ahadi ‘hewa’ nao waadhibiwe

Tunapokea ahadi nyingi sana kutoka vyanzo mbalimbali. Kutoka kwa wenzetu katika ndoa, wazazi na watoto wetu, viongozi wetu wa dini, serikali, vyama n.k.

 

10 years ago

GPL

WIZI WA MISHAHARA HEWA UNADHIBITIKA

KWA mara nyingine, ninapenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuweza kunifikisha hapa leo, kiasi cha kuweza kuzungumza na nyinyi leo kupitia safu yetu hii. Ninasema kila mara kwamba ukarimu wa Mwenyezi Mungu ni wa ajabu sana, kwa sababu anaweza kutenda miujiza hata kwa watu ambao hadi leo hawajaona umuhimu wake na wanafanya mambo kana kwamba wao ndiyo wenye ufalme hapa duniani. Hakuna...

 

10 years ago

Mtanzania

Mishahara hewa yaizundua Serikali

Mwigulu Nchemba

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba

Aziza Masoud,Dar es Salaam

SERIKALI  imekabidhi majina ya taasisi na kampuni mbalimbali zilizohusika kutoa mishahara hewa  na kuisababishia Taifa hasara ya mabilioni ya fedha kwa vyombo vya usalama ili hatua stahiki za kisheria zichukuliwe.

Akizungumza mjini Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba alisema   baada ya kupata taarifa za ubadhilifu huo   wizara iliunda timu ambayo ilifanya uchambuzi katika baadhi ya taasisi na ...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaokoa bilioni 40/- mishahara hewa

SERIKALI imeokoa Sh bilioni 40 zinazodaiwa zilikuwa zikiingia kwenye mifuko ya watu wachache kutokana na ulipaji wa mishahara hewa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu: Sh1.6 trilioni mishahara hewa

Mamilioni ya fedha za umma yanatumika kwenye matamasha ya wizara, badala ya kupelekwa vijijini kuendeleza miradi ya maji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kura ya maoni na hofu ya hali ya hewa

Hofu ya umma kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa imepungua katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu

>Kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi nchini kutaka Kodi ya Mshahara (Paye), ipunguzwe hadi chini ya asilimia 10 kimekwama baada ya Serikali kupunguza kodi hiyo kwa asilimia moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani