Utoroshaji madini ghafi washika kasi
WAKATI serikali imepiga marufuku usafirishaji wa madini ya tanzanite nje ya nchi yakiwa ghafi, bado kumekuwepo na wimbi la usafirishaji wa madini hayo kwa kutumia njia za panya kwenye mikoa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HSuUDFknyEQ/U-2bMXdFksI/AAAAAAAF_uc/6rgPuiaI4MM/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi
10 years ago
Mwananchi19 Aug
GST yataka usafirishaji madini ghafi usitishwe
10 years ago
Habarileo30 Aug
Watakiwa kudhibiti utoroshaji wa madini
WATAALAMU wanaosimamia sekta ya madini nchini wametakiwa kuongeza uwajibikaji ili kudhibiti utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi ambao umekuwa ukiikosesha serikali mapato.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Sakata utoroshaji madini laendelea
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Idara kudhibiti utoroshaji madini
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Ushoga washika kasi nchini
WAKATI Uganda imepitisha sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia moja, hapa nchini hali ni mbaya zaidi kutokana na kuwepo kwa asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha na ushoga. Kwa mujibu wa...
11 years ago
Habarileo29 Dec
Moto wa rushwa washika kasi
WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, Frederick Sumaye amewataka wananchi na wadau wa demokrasia kutochoka kukemea rushwa katika kupata viongozi kwani inawafanya kuwa wapofu na kudumaza maendeleo.
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Ulevi wa Shisha washika kasi
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-p3BvjfrhA6A/U2_Pg4KhT7I/AAAAAAAFg-Q/XmycZRV9des/s72-c/aprm-may24-2013(1)(1)(2).jpg)
Utekelezaji wa Mpangokazi wa APRM washika Kasi
![](http://3.bp.blogspot.com/-p3BvjfrhA6A/U2_Pg4KhT7I/AAAAAAAFg-Q/XmycZRV9des/s1600/aprm-may24-2013(1)(1)(2).jpg)
Serikali ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyiakazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).
Itakumbukwa kuwa, Tanzania ni miongoni mwa nchi 34 kati ya 54 za AU zilizokwishajiunga na Mpango wa APRM. Tanzania ilijiunga na mchakato huu mwaka 2004 na Bunge kuridhia mnamo tarehe 1 Februari 2005.
Kwa mujibu wa...