Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madini ya mil. 547 yanaswa yakitoroshwa nje

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umekamata watoroshaji madini aina mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 547 katika matukio 11 tofauti, kuanzia Oktoba 2013 hadi mwishoni mwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Madini ya milioni 547/= yakamatwa yakitoroshwa

WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umefanikiwa kukamata watoroshaji wa madini yenye thamani ya Sh milioni 547, katika muda wa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka jana.

 

10 years ago

Michuzi

TMAA yapiga mnada madini yaliyokamatwa yakitoroshwa nje ya nchi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eng. Ngosi Mwihava akizungumza kabla ya kuanza kwa mnada wa kwanza wa madini yaliyokamatwa yakisafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria.Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Bruno Mteta (wa kwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Madini Tanzania, Richard Kasesera (wa pili kulia), Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Uchumi na Biashara, Salim Salim...

 

10 years ago

Mwananchi

Madini ya Sh15.8 bilioni yakamatwa yakitoroshwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA), umekamata madini yenye thamani ya Sh15.8 bilioni yaliyokuwa yakitoroshwa kwenda nje ya nchi bila ya kibali na kukwepa kulipa kodi ya mapato.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti utoroshaji wa madini nje ya nchi

Serikali imekua ikipoteza mapato mengi kutokana na utoroshwaji wa madini aina ya Tanzanite yanayopatikana nchini Tanzania pekee.  Kamishna wa Madini nchini,Eng Paul Massanja amesema leo wakati wa maonesho ya madini ya Vito yanayofanyika jijini hapa ambayo yanahudhuriwa na washiriki kutoka mataifa mbalimbali. Amesema kwa takwimu za mwaka 2013,Tanzania ilipata dola za marekani 38 milioni wakati nchi ya Kenya ilijipatia kiasi cha dola 100 milioni na India ilijikusanyia kitita cha dola 300...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali kudhibiti utoroshwaji wa madini nje ya nchi

Serikali imekua ikipoteza mapato mengi kutokana na utoroshwaji wa madini aina ya Tanzanite yanayopatikana nchini Tanzania pekee.
Kamishna wa Madini nchini,Eng Paul Massanja amesema leo wakati wa maonesho ya madini ya Vito yanayofanyika jijini hapa ambayo yanahudhuriwa na washiriki kutoka mataifa mbalimbali.
Amesema kwa takwimu za mwaka 2013,Tanzania ilipata dola za marekani 38 milioni wakati nchi ya Kenya ilijipatia kiasi cha dola 100 milioni na India ilijikusanyia kitita cha dola 300...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AMEFUNGUA JENGO LA HUDUMA KWA WAGONJWA WA NJE (O.P.D) KWENYE KITUO CHA AFYA LUMUMA MPWAPWA LENYE THAMANI YA MIL.350

 Hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la huduma kwa wagonjwa wa nje OPD kwenye kituo cha afya cha lumuma Mpwapwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki ilitanguliwa na ibada takatifu iliyoongozwa na makamu wa askofu kanisa katoliki dodoma padiri Chesco Msaga (wa pili kulia) kituo hiko cha afya kinamilikiwa na kanisa hilo kupitia shirika lake la watawa la Mt. Gema. Mkuu wa Mkoa Dodoma Dr Rehema Nchimbi akiwa amembeba mtoto aliyepewa jina la Rehema na mama yake kama ishara ya kumuenzi mkuu huyo wa Mkoa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mabomu hatari yanaswa



NA CLARENCE CHILUMBA, MASASI JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashilkilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na mabomu 18 ya kutengenezwa kwa kutumia vifaa hatari vya kupasulia miamba. Habari za kuaminika zinasema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti kutokana na kuishi maeneo tofauti. Pia walinaswa na nyaya na unga maalumu ambao ni malighafi zinazotumika katika kutengeneza mabomu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Augustino Ullomi, alisema watuhumiwa hao walitiwa mbaroni mapema...

 

11 years ago

Mwananchi

Shehena ya magogo yanaswa

Makontena sita yaliyobeba magogo yaliyokuwa yakisafirishwa kwenda nje kwa njia za magendo yamekamatwa katika Bandari ya Malindi, Kisiwani Unguja kabla ya kusafirishwa kuelekea nchini China, imefahamika visiwani humu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Siagi ya Uruguay yanaswa Brazil

Wasimamizi wa uwanja wa ndege Brazil wamezuia kilo 39 za siagi ya karameli kutoka timu ya Uruguay

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani