Mabomu hatari yanaswa
NA CLARENCE CHILUMBA, MASASI JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashilkilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na mabomu 18 ya kutengenezwa kwa kutumia vifaa hatari vya kupasulia miamba. Habari za kuaminika zinasema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti kutokana na kuishi maeneo tofauti. Pia walinaswa na nyaya na unga maalumu ambao ni malighafi zinazotumika katika kutengeneza mabomu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Augustino Ullomi, alisema watuhumiwa hao walitiwa mbaroni mapema...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Apr
Milipuko hatari yanaswa msikitini Morogoro
POLISI mkoani hapa imewatia mbaroni watu zaidi ya tisa wanaojihusisha na uhalifu wakiwa na milipuko hatari na zana za milipuko, wakiwa wamefichwa ndani ya Msikiti wa Suni kata ya Kidatu, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro.
11 years ago
Mtanzania01 Aug
Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtanzania
Eliya Mbonea na Janeth Mushi, Arusha
WATU 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha, wakidaiwa kuhusika na uingizaji, ulipuaji na usafirishaji wa mabomu pamoja na kumwagia watu tindikali.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kununua mabomu hayo Jamhuri na Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, kililiambia MTANZANIA kuwa watuhumiwa hao akiwamo Sheikh wa Msikiti wa Bondeni jijini hapa na mfanyakazi wa Benki ya Stanbic,...
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Assad akana kutumia mabomu hatari
11 years ago
MichuziBARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Shehena ya magogo yanaswa
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Siagi ya Uruguay yanaswa Brazil
9 years ago
Habarileo02 Dec
Makontena yanaswa sakata TRA
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata makontena tisa, yaliyotoroshwa kutoka katika bandari kavu na kuhamishiwa katika eneo la Mbezi Tangi Bovu, Dar es Salaam, hivyo kuwepo na kiashiria cha ukwepaji wa kodi.
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Heroin yanaswa Afrika kusini
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Meno ya tembo kilo 130 yanaswa