Mtandao hatari wa mabomu wanaswa
Mtanzania
Eliya Mbonea na Janeth Mushi, Arusha
WATU 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha, wakidaiwa kuhusika na uingizaji, ulipuaji na usafirishaji wa mabomu pamoja na kumwagia watu tindikali.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kununua mabomu hayo Jamhuri na Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, kililiambia MTANZANIA kuwa watuhumiwa hao akiwamo Sheikh wa Msikiti wa Bondeni jijini hapa na mfanyakazi wa Benki ya Stanbic,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 May
17 wanaswa tuhuma ya kulipua mabomu
POLISI imesema imekamata watu 15, wanaotuhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu jijini Arusha na usajili wa vijana kwa lengo la kuwasafirisha kwenda nje ya nchi, kujiunga na vikundi vya kigaidi. Pia, watu hao wanatuhumiwa kutaka kulipua maeneo mengine, hasa taasisi za Serikali na maeneo ya mikusanyiko ya watu.
11 years ago
GPLWANASWA NA MABOMU 7, RISASI 6, BARUTI JIJINI ARUSHA
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Mabomu hatari yanaswa
NA CLARENCE CHILUMBA, MASASI JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashilkilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na mabomu 18 ya kutengenezwa kwa kutumia vifaa hatari vya kupasulia miamba. Habari za kuaminika zinasema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti kutokana na kuishi maeneo tofauti. Pia walinaswa na nyaya na unga maalumu ambao ni malighafi zinazotumika katika kutengeneza mabomu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Augustino Ullomi, alisema watuhumiwa hao walitiwa mbaroni mapema...
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Assad akana kutumia mabomu hatari
11 years ago
BBCSwahili21 Apr
Heartbleed hatari kwa mtandao
11 years ago
Ykileo
KUPERUZI KUPITIA WI-FI NI HATARI ZAIDI KIUSALAMA MTANDAO

Haya niliyabainisha wakati nazungumzia changamoto mbali mbali tunazokumbana nazo za kiusalama mtandao kupitia matumizi yasiyo salama ya Wi-Fi yanayo endelea kushika kasi kaika maeneo mbali mbali hivi...
11 years ago
CloudsFM31 Jul
MAJAMBAZI 10 WANAOUNDA MTANDAO HATARI WA UHALIFU NCHINI WAMETIWA MBARONI
Silaha hizo ni bunduki tisa zikiwemo SMG tatu, bastola mbili, short gun nne na risasi 15 zilikamatwa.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, aliyasema hayo ofisini kwake kwenye mkutano na waandishi wa habari.
Majambazi hao wamekamatwa katika msako mkali unaoendelea jijini Dar es Salaam katika harakati za kuhakikisha...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMANDA WA MIKOA MITATU YA MWANZA, SIMIYU NA SHINYANGA WAVUNJA NGOME HATARI YA MTANDAO WA UJAMBAZI

Alisema mtiliwa shaka huyo alipohojiwa alisema kuwa jeraha hilo alipigwa risasi na jambazi mwenzake aitwaye Njile Samweli wakati wakifanya tukio la ujambazi katika kijiji cha Idukilo kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
11 years ago
Michuzi31 Jul
Majambazi 10 wanaounda mtandao hatari wa uhalifu nchini wametiwa mbaroni, silaha mbalimbali zakamatwa.
Silaha hizo ni bunduki tisa zikiwemo SMG tatu, bastola mbili, short gun nne na risasi 15 zilikamatwa.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, aliyasema hayo...