WANASWA NA MABOMU 7, RISASI 6, BARUTI JIJINI ARUSHA
Na Joseph Ngilisho, Arusha JESHI la polisi hapa nchini limefanikiwa kuwatia mbaroni vinara wa milipuko ya mabomu hapa nchini, Yusufu Ally (30) na mkewe Sumaina Juma (19), wakazi wa Sombetini, wakiwa na mabomu ya kurusha kwa mkono aina ya Gurnet saba, risasi sita za shotgun, baruti, mapanga mawili na bisibisi moja. Mabomu na risasi walizokutwa nazo Yusufu Ally na mkewe Sumaina Juma. Akizungumza na waandishi wa habari mjini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kKeY8ZcLXOs/VEU_9qSQp5I/AAAAAAAGsFo/bxNUwmoG8y0/s72-c/New%2BPicture%2B(3).bmp)
KIONGOZI WA ULIPUAJI WA MABOMU JIJINI ARUSHA AUWAWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-kKeY8ZcLXOs/VEU_9qSQp5I/AAAAAAAGsFo/bxNUwmoG8y0/s1600/New%2BPicture%2B(3).bmp)
Kiongozi wa matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.
Akithitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani Arusha,SACP Liberatus Sabas (pichani) Alisema kuwa tukio hilo limetokea October 19 majira ya saa tano na nusu katika barabara ya babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia polisi.
Alisema kuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-NneZHu_kLCY/U4dmmvhQyaI/AAAAAAAFmSU/gAWTSgI4GMU/s72-c/IMG-20140529-WA0001.jpg)
WATUHUMIWA WA MLIPUKO WA MABOMU JIJINI ARUSHA WAPANDISHWA KIZIMBANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-NneZHu_kLCY/U4dmmvhQyaI/AAAAAAAFmSU/gAWTSgI4GMU/s1600/IMG-20140529-WA0001.jpg)
Watu hao walifikishwa mahakamani hapo leo na kusomemewa shitaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mustafa Siama ambapo hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na kile kilichoelezwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kutenda tukio hilo Aprili...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Mroki ajipiga risasi na kufa jijini Arusha
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo la Shams, jijini hapa.
Kisa cha kujiua kwake kimetajwa ni kusababisha ajali, baada ya kuligonga gari jingine katika eneo la Mbauda wakati akitokea katika makazi yake yaliyopo eneo la Kwa Mrombo, jijini...
11 years ago
Mtanzania01 Aug
Mtandao hatari wa mabomu wanaswa
![Mtanzania](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mtanzania-010814.jpg)
Mtanzania
Eliya Mbonea na Janeth Mushi, Arusha
WATU 19 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha, wakidaiwa kuhusika na uingizaji, ulipuaji na usafirishaji wa mabomu pamoja na kumwagia watu tindikali.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kununua mabomu hayo Jamhuri na Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, kililiambia MTANZANIA kuwa watuhumiwa hao akiwamo Sheikh wa Msikiti wa Bondeni jijini hapa na mfanyakazi wa Benki ya Stanbic,...
11 years ago
Habarileo30 May
17 wanaswa tuhuma ya kulipua mabomu
POLISI imesema imekamata watu 15, wanaotuhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu jijini Arusha na usajili wa vijana kwa lengo la kuwasafirisha kwenda nje ya nchi, kujiunga na vikundi vya kigaidi. Pia, watu hao wanatuhumiwa kutaka kulipua maeneo mengine, hasa taasisi za Serikali na maeneo ya mikusanyiko ya watu.
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Risasi, mabomu yarindima Mbeya
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Mume, mke wakutwa na mabomu, risasi
JESHI la Polisi nchini limetangaza kuwa Jiji la Arusha si salama tena baada ya kukamata watu wanane wakihusihwa na matukio mbalimbali ya milipuko, wakiwemo mtu na mke wake waliokutwa nyumbani...
10 years ago
Mtanzania07 Sep
Askari wawili wauawa, SMG 10, risasi na mabomu vyaporwa
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA PETER MAKUNGA, BUKOMBE
HOFU ya usalama wa raia na mali zao imetanda baada ya askari polisi wawili kuuawa na bunduki 10 aina ya SMG kuporwa katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayani hapa.
Uporaji huo umefanywa na watu ambao hawajafahamika baada ya kuvamia kituo hicho saa 9:45 alfajiri na kuwashambulia askari polisi waliokuwa zamu ambapo wawili waliuawa na wengine watatu walijeruhiwa.
Mbali na kupora SMG 10, pia inadaiwa wamefanikiwa kupora risasi...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Mke, mume wanaswa na bangi Arusha