KIONGOZI WA ULIPUAJI WA MABOMU JIJINI ARUSHA AUWAWA
.bmp)
Na Woinde Shizza,Arusha.
Kiongozi wa matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.
Akithitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani Arusha,SACP Liberatus Sabas (pichani) Alisema kuwa tukio hilo limetokea October 19 majira ya saa tano na nusu katika barabara ya babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia polisi.
Alisema kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog21 Oct
Gaidi mkuu wa ulipuaji wa mabomu auwawa Arusha na Polisi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas.
Kiongozi wa matukio ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini aliyejulikana kwa jina la Yahaya Hassani Omary ameuwawa na jeshi la polisi wakati alivyokuwa akijaribu kukimbia.
Akithitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio hilo limetokea October 19 majira ya saa tano na nusu katika barabara ya Babati mkoani Arusha wakati alipokuwa akijaribu kuwakimbia...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
Muarobaini ulipuaji wa mabomu watimia
NA RABIA BAKARI
SERIKALI imesema imeweka mikakati ya kudhibiti milipuko ya mabomu inayoendelea kutokea nchini.
Akizungumza na Mzalendo, juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, alisema hawezi kutaja aina ya mikakati, lakini ipo na ni mikubwa.
“Tumejipanga kikamilifu na kwa nguvu zote kukomesha hali hii, tukisema tutafanya nini itakuwa si vizuri maana tutawapa maadui zetu nafasi ya kutujua, lakini wewe fahamu mikakati ipo na mikubwa,” aliongeza.
Aliwataka wananchi kuwa wepesi wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Ulipuaji mabomu wawapa hofu wenye ulemavu
VITENDO vya ulipuaji wa mabomu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi mara kwa mara, vimekuwa vikilaumiwa na watu wenye ulemavu. Lawama hizi zinatokana na watu hao kushindwa kujitetea katika kujiokoa kwenye...
11 years ago
GPLWANASWA NA MABOMU 7, RISASI 6, BARUTI JIJINI ARUSHA
11 years ago
Michuzi
WATUHUMIWA WA MLIPUKO WA MABOMU JIJINI ARUSHA WAPANDISHWA KIZIMBANI

Watu hao walifikishwa mahakamani hapo leo na kusomemewa shitaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mustafa Siama ambapo hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na kile kilichoelezwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kutenda tukio hilo Aprili...
11 years ago
Dewji Blog21 Aug
Jeshi la Polisi latangaza dau kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa kinara wa matukio ya kigaidi na ulipuaji wa mabomu nchini
‘Sensei’ Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya ulipuaji wa mabomu hapa nchini ambaye Jeshi la Polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vinamtafuta huku Serikali ikitangaza dau kwa mtu atakeyetoa taarifa zake kwenye kituo cha polisi kilichokaribu nawe. (Picha na Mahmoud Ahmad, Arusha).
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mabomu yazidi kutikisa Arusha
11 years ago
Habarileo01 Aug
Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa
WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.
11 years ago
Habarileo20 Dec
Ushahidi mabomu ya Arusha watakiwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari (Chadema), kuwasilisha tuhuma zote alizonazo dhidi ya Polisi, kudaiwa kumtesa mtuhumiwa wa bomu lililolipuka katika eneo la Olositi, mkoani Arusha kwenye mkutano wa Chadema.