Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushahidi mabomu ya Arusha watakiwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari (Chadema), kuwasilisha tuhuma zote alizonazo dhidi ya Polisi, kudaiwa kumtesa mtuhumiwa wa bomu lililolipuka katika eneo la Olositi, mkoani Arusha kwenye mkutano wa Chadema.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mabomu yazidi kutikisa Arusha

>Milipuko ya mabomu nchini inazidi kuongezeka baada ya bomu jingine kulipuka mjini Arusha na kujeruhi vibaya watu wanane wenye asili ya Kiasia katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine ulioko eneo la Arusha Gymkhana.

 

11 years ago

Habarileo

Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa

WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabomu Arusha, Z’bar kuathiri mapato - Mkuya

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya amesema matukio ya milipuko ya mabomu yanayotokea katika miji ya Arusha na Zanzibar, yataleta madhara kiuchumi kwa vile yatapunguza idadi ya watalii na uwekezaji.

 

11 years ago

Habarileo

Kamati ya Ulinzi Mkoa yabanwa mabomu Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John MongelaKIKAO cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Arusha (RCC) kimetaka polisi na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, kuacha kutoa matamko ya haraka, badala yake wachunguze kubaini chanzo cha milipuko ya mabomu jijini hapa.

 

11 years ago

GPL

WANASWA NA MABOMU 7, RISASI 6, BARUTI JIJINI ARUSHA

Na Joseph Ngilisho, Arusha
JESHI la polisi hapa nchini limefanikiwa kuwatia mbaroni vinara wa milipuko ya mabomu hapa nchini, Yusufu Ally (30) na mkewe Sumaina Juma (19), wakazi wa Sombetini, wakiwa na mabomu ya kurusha kwa mkono aina ya Gurnet saba, risasi sita za shotgun, baruti, mapanga mawili na bisibisi moja. Mabomu na risasi walizokutwa nazo Yusufu Ally na mkewe Sumaina Juma. Akizungumza na waandishi wa habari mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali itegue kitendawili cha mabomu Arusha

Tunasikitishwa na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya mabomu katika Jiji la Arusha, ambapo katika kipindi kifupi tu kisichozidi miezi 18 yametokea matukio saba ambayo yamesababisha vifo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabomu Arusha yatawala hotuba za Mei Mosi

SHEREHE za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) mkoani Arusha zimetawaliwa na hotuba kuhusu milipuko ya mabomu iliyosababisha vifo vya watu na kuwaacha wengine na ulemavu wa kudumu. Hotuba hizo zilitolewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabomu saba yakamatwa Arusha, 25 watiwa mbaroni

>Jeshi la Polisi limekamata mabomu saba ya kutupa kwa mkono, risasi sita za bunduki aina ya Shortgun, mapanga mawili na bisibisi moja, katika operesheni dhidi ya matukio ya mabomu mjini hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Milipuko ya mabomu Arusha ina nia gani?

WAKATI matokeo ya uchunguzi wa milipuko ya mabomu ya awali katika Jiji la Arusha hayajajulikana, mlipuko mwingine wa bomu umetokea jijini humo na kujerhi vibaya watu zaidi ya 17 waliokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani