Mabomu Arusha, Z’bar kuathiri mapato - Mkuya
Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya amesema matukio ya milipuko ya mabomu yanayotokea katika miji ya Arusha na Zanzibar, yataleta madhara kiuchumi kwa vile yatapunguza idadi ya watalii na uwekezaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog04 Jun
Mh. Saada Mkuya awasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya fedha mwaka 2014/2015
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma. Waliokaa viti vya nyuma ni Manaibu Waziri Mwigulu Nchemba (kushoto) na Adam Malima (kulia).(Picha na Wizara ya Fedha).
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma.
Hotuba Ya Waziri Wa Fedha 2014 Juni Final by moblog
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2lUbhTMrgEoVxla-K*b-miuUqfy2WtyTi5tSDBRZl1jwjyeQhvzCM-obwqNvyI9vwwzPqezUyBuWU6vGNHREvi/waziriwafedha.jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHESHIMIWASAADA MKUYA SALUM (MB) AKIWASILISHABUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YAWIZARA YA FEDHAKWA MWAKA 2014/15
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Majeruhi wa mabomu Z’bar afariki
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Milipuko ya mabomu yarindima Z’bar
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/--1sXhWItbTM/VFF2Ewqu8JI/AAAAAAABEvA/Ymyc7NVGe4w/s1600/IMG_0430.jpg)
WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA AZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2011-2012-TANZANIA BARA
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA -SAADA MKUYA AONGOZA UZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2011-2012-TANZANIA BARAâ€
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2RTBIQD9MMM/U5nhyp1iYDI/AAAAAAAFqJI/dwlPAAJlTGk/s72-c/unnamed+(33).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15
![](http://1.bp.blogspot.com/-2RTBIQD9MMM/U5nhyp1iYDI/AAAAAAAFqJI/dwlPAAJlTGk/s1600/unnamed+(33).jpg)
11 years ago
Habarileo01 Aug
Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa
WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.