Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majeruhi wa mabomu Z’bar afariki

 Mtu mmoja kati ya wanne waliolipukiwa na mabomu, Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, amefariki dunia na kuzikwa jana Visiwani Zanzibar. Marehemu aliyetajwa kwa jina la Juma Abdallah Juma (32), alifariki dunia kutokana na majeraha makubwa aliyopata sehemu mbalimbali mwilini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Milipuko ya mabomu yarindima Z’bar

Watu wanne wamejeruhiwa baada ya milipuko minne inayoaminika kuwa ni mabomu kutokea katika maeneo matatu tofauti Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar

Mabomu manne ya kivita yamekamatwa yikiwa yamehifadhiwa chini ya ardhi huko katika mji mdogo wa Daraja Bobu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na bomu moja likihusishwa kutumika katika mlipuko uliosababisha kifo cha mtu mmoja Juni 13 mwaka huu katika Manispaa ya Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabomu Arusha, Z’bar kuathiri mapato - Mkuya

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya amesema matukio ya milipuko ya mabomu yanayotokea katika miji ya Arusha na Zanzibar, yataleta madhara kiuchumi kwa vile yatapunguza idadi ya watalii na uwekezaji.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mamba alienusurika mabomu ya Vita ya Pili ya Dunia afariki kwenye hifadhi ya wanyama mjini Moscow

Saturn alitolewa kama zawadi kwa hifadhi ya wanyama ya Berlin mwaka 1936 muda mfupi baada ya kuzaliwa nchini Marekani.

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE‏

Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM,  Denis Ssebo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habri Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios. Na Dotto Mwaibale KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika...

 

10 years ago

Michuzi

libeneke la Muziki mnene bar kwa bar la 93.7 EFM ndani ka kibaha

 Wana 93.7 EFM wakipata ytaswira  na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kusikiliza vipindi vya kituo hicho cha redio kinachotamba nchini,  ikiwa ni maandalizi ya ujio wa libeneke la Muziki mnene bar kwa bar.  Bango la MUZIKI MNENE lilionekana maeneo ya mjini Kibaha, lilowekwa na mmoja wa mashabiki wa EFM Radio 93.7. 

 

10 years ago

Michuzi

EFM WAANDAA TAMASHA LA PILI LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR

Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM,  Denis Ssebo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios. Mtangazaji, Dina Marios akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE

Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo cha Redio cha EFM,  Denis Ssebo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habri Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu  kuendelea kufanyika kwa Tamasha la Muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Kulia ni Mtangazaji, Dina Marios.
Na Dotto Mwaibale
KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza.
Hayo yalibainishwa na Meneja Mkuu...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUFANYIKA JUMAMOSI MKURANGA MKOANI PWANI

 Ofisa Habari wa Kituo cha Redio cha EFM, Samira Sadiq (kushoto), akizungumza na wanahabari (hawapo pichani), kabla ya kumkaribisha Meneja wa Mawasiliano wa redio hiyo kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha la muziki mnene bar kwa bar litakaloanza kesho kutwa Jumamosi, Agosti 5, 2015 Mkuranga mkoani Pwani. Kulia ni Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya Smart, Haidari Chamshama na katikati ni Meneja wa Mawasiliano wa EFM Redio, Denis Ssebo. Kampuni ya simu ya Smart...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani