Watuhumiwa mabomu Arusha watajwa
WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, majina yao yamewekwa hadharani jana na leo wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayowakabili. Watuhumiwa hao ni pamoja wanaodaiwa kuhusika katika ulipuaji wa bomu katika viwanja vya Soweto, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika Juni 15, 2013.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWATUHUMIWA WA MLIPUKO WA MABOMU JIJINI ARUSHA WAPANDISHWA KIZIMBANI
Watu hao walifikishwa mahakamani hapo leo na kusomemewa shitaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mustafa Siama ambapo hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na kile kilichoelezwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kutenda tukio hilo Aprili...
9 years ago
Habarileo25 Dec
Watuhumiwa mauaji ya ‘kachero’ wa TANAPA watajwa
MFANYAKAZI wa bustani, Ismail Swalehe Sang’wa (20), mkazi wa kijiji cha Sepuka wilayani Ikungi mkoa wa Singida, amekamatwa na Polisi, akituhumiwa kumchinja Kachero wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa), Emily Stephano Kisamo (52).
11 years ago
Habarileo02 Aug
Watuhumiwa 19 wa mabomu kortini
WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, jana walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Walisomewa mashtaka yanayowakabili chini ya ulinzi mkali ndani na nje ya viwanja vya mahakama.
9 years ago
StarTV15 Nov
Polisi mkoani Geita yakamata watuhumiwa watatu wa mlipuko wa mabomu
Polisi Mkoani Geita wamefanikiwa kuwakamata watu waliohusika na tukio la kulipua kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu katika nyumba ya Afisa Mafunzo wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita Lucy Joseph tukio lililotokea Oktoba 28 mwaka huu.
Jeshi hilo limewakamata watuhumiwa watatu na milipuko 27 inayotumiwa kufanya uhalifu katika Mkoa wa Geita, Kahama Mkoani Shinyanga na Babati Mkoani Manyara.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Peter Kakamba akizungumza na Waandishi wa Habari amesema watuhumiwa hao...
11 years ago
Habarileo20 Dec
Ushahidi mabomu ya Arusha watakiwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari (Chadema), kuwasilisha tuhuma zote alizonazo dhidi ya Polisi, kudaiwa kumtesa mtuhumiwa wa bomu lililolipuka katika eneo la Olositi, mkoani Arusha kwenye mkutano wa Chadema.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mabomu yazidi kutikisa Arusha
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Watuhumiwa ugaidi Arusha kizimbani leo
WATUHUMIWA 19 waliokamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha wakihusishwa na matukio mbalimbali yanayoashiria ugaidi, ikiwemo milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali, wanatarajiwa kupanda kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu...
11 years ago
GPLWATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA
11 years ago
GPLWANASWA NA MABOMU 7, RISASI 6, BARUTI JIJINI ARUSHA