WAZIRI WA FEDHA -SAADA MKUYA AONGOZA UZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2011-2012-TANZANIA BARAâ€
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi akihutubia.
Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Philippe Dongier, akihutubia katika hafla hiyo.
Ofisa kutoka Shirika la Maendeleo la DPG, Sinikka Antila,akitoa hutuba fupi kwa wageni waalikwa.
Meneja wa Mazingira na Uchambuzi wa Takwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (TBS), Sango Abas Simba, akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu chapisho...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/--1sXhWItbTM/VFF2Ewqu8JI/AAAAAAABEvA/Ymyc7NVGe4w/s1600/IMG_0430.jpg)
WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA AZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2011-2012-TANZANIA BARA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/--1sXhWItbTM/VFF2Ewqu8JI/AAAAAAABEvA/Ymyc7NVGe4w/s72-c/IMG_0430.jpg)
WAZIRI WA FEDHA AZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2011-2012-TANZANIA BARA
![](http://2.bp.blogspot.com/--1sXhWItbTM/VFF2Ewqu8JI/AAAAAAABEvA/Ymyc7NVGe4w/s1600/IMG_0430.jpg)
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Katikati) akionyesha kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2011/12 wakati akikizindua katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam jana Oktoba 29, 2014. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Ofisa kutoka Shirika la Maendeleo la DPG, Sinikka Antila, Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Philippe Dongier na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
![](http://4.bp.blogspot.com/-V7LcTPbyZVo/VFF2BhWhCJI/AAAAAAABEuw/0fWpgOmqH-o/s1600/IMG_0418.jpg)
Waziri...
11 years ago
Dewji Blog04 Jun
Mh. Saada Mkuya awasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya fedha mwaka 2014/2015
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma. Waliokaa viti vya nyuma ni Manaibu Waziri Mwigulu Nchemba (kushoto) na Adam Malima (kulia).(Picha na Wizara ya Fedha).
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma.
Hotuba Ya Waziri Wa Fedha 2014 Juni Final by moblog
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2RTBIQD9MMM/U5nhyp1iYDI/AAAAAAAFqJI/dwlPAAJlTGk/s72-c/unnamed+(33).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15
![](http://1.bp.blogspot.com/-2RTBIQD9MMM/U5nhyp1iYDI/AAAAAAAFqJI/dwlPAAJlTGk/s1600/unnamed+(33).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2lUbhTMrgEoVxla-K*b-miuUqfy2WtyTi5tSDBRZl1jwjyeQhvzCM-obwqNvyI9vwwzPqezUyBuWU6vGNHREvi/waziriwafedha.jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHESHIMIWASAADA MKUYA SALUM (MB) AKIWASILISHABUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YAWIZARA YA FEDHAKWA MWAKA 2014/15
10 years ago
VijimamboMIKUTANO YA WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA NA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA WASHINGTON, DC
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-b-1eL1S8Ufg/Vfj6LBrAM8I/AAAAAAAB9jo/_mDOu5F7x3o/s72-c/mkuya0.jpg)
Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni
![](http://3.bp.blogspot.com/-b-1eL1S8Ufg/Vfj6LBrAM8I/AAAAAAAB9jo/_mDOu5F7x3o/s640/mkuya0.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jtGS0jt9aFI/Vfj6LunEYZI/AAAAAAAB9js/NhlKxDTeVKo/s640/Mkuya1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xNaVCB_zm-s/Vfj6M1QqtWI/AAAAAAAB9j8/bIySHscNbgo/s640/mkuya3.jpg)
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)
Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC
Waziri wa...
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Waziri Saada Mkuya wakati alipokutana na taasisi mbalimbali za fedha za kimataifa Washington DC
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania walipokutana na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly walipokuwa wakijadiliana na kuangalia ni jinsi gani Tanzania imeweza kutekeleza sera za Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CITI na Mkuu wa Afrika kwa kundi la sekta ya utumishiwa umma Bw. Peter M. Sullivan...