Mh. Saada Mkuya awasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya fedha mwaka 2014/2015
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma. Waliokaa viti vya nyuma ni Manaibu Waziri Mwigulu Nchemba (kushoto) na Adam Malima (kulia).(Picha na Wizara ya Fedha).
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma.
Hotuba Ya Waziri Wa Fedha 2014 Juni Final by moblog
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Hotuba iliyowasilisha bungeni ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2015/16
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 leo Bungeni mjini Dodoma.
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA 2015-16 (30MAY2015).pdf
10 years ago
GPL
WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI 2015/16
11 years ago
GPL
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHESHIMIWASAADA MKUYA SALUM (MB) AKIWASILISHABUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YAWIZARA YA FEDHAKWA MWAKA 2014/15
10 years ago
Vijimambo26 May
HOTUBA YA MHE. CECILIA PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16

Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB).
(Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013).
1.0 UtanguliziMheshimiwa Spika,Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa.
Mheshimiwa Spika, Napenda kutumia fursa hii, kuwashukuru watanzania wote kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko...
10 years ago
GPL
HOTUBA YA MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016
11 years ago
Michuzi
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI

5 years ago
Michuzi
HOTUBA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE. INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2020/2021
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
HOTUBA FUPI (TALKING NOTES) YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE. INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2020/2021
Dodoma Mei 05, 2020

Mheshimiwa Spika; kutokana na taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...